Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.


Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari gani mkuu,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Huwa baadhi ya watu mkisafiri na kukaa jinsia tofauti akili zenu mnazijua wenyewe.

Ki ukweli ukweli kipo ambacho umeshakidhamiria na ndio sababu ukafikia ulipofikia. Hivyo changanua akili zako sababu kama umeamua kuvunja amri ya sita utavunja naye tu hata post zote zitasema usimle.
 
Umenikumbusha kitu mkuu, kuna siku nilisafiri kutoka magu kwenda Mwanza mjini, nikaa siti moja na mdada mjita alikuwa akitokea Bunda nikapiga swaga ndani ya nusu saa kaeleweka nikamgegeda fasta kwenye gest ya mzee shinyanga.Yaani ndani ya masaa matatu tangu tujuane nikamla

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikipata faragha na mwanamke bila kutupia saundi najikia kama nimepungukiwa maji mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gegeda ila ukishindwa match badili .siti maake utapata tabu sanaa
IMG_20181210_212844_711.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
back in the days tulikua tuna enda shule Kampala jamaa kakutana na demu kwenye basi tulikutana nae Kericho ana toka Mombasa dem mkenya jamaa kajibebea mzigo akaenda kakaa nae hotel siku mbili ya tatu wakaja kamatwa kumbe dem alikua na msala wa mauaji jamaa akaunganishwa kwenye kesi japo alitoka baadae alikaa almost three months na kipigo juu sasa raha ipo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom