Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.


Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikula?
 
Back
Top Bottom