Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona ume mtag ZERO IQ ,,sasa ushaur wann manake huyo zero anafanana na unachiotaka kufanya endelea tu manake heri ww zero IQ juzi tu analalamika humu tumpe ushaur juu ya namna ya kumtoroka dem guest ,,,,ila kama kawa tumia kikokotoo cha zamani tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app