Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Kuna ubaya wowote kumla mtu safarini?

Unapuliziwa spray za usingizi anaondoka na kila kilichochako.
 
Mkuu samahani sana nipo chini yamiguu yako, huyo nimpenzi wangu nahiyo safari anakuja kwangu kumalizia likizo yake nakusihii sana msamehe usimkule mke wangu mtarajiwa huyo bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha.....unat@mb...e...wa demu wako mkuu..

Jamaa hawezi kumuacha maana kamuelewa aiseee!!

Piga kazi Mzee wa kasumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia Basi lisiwaache maana ni saa 11 alfajiri
pia chunga suruali huwa wanaahirisha safari hao
 
Naona ume mtag ZERO IQ ,,sasa ushaur wann manake huyo zero anafanana na unachiotaka kufanya endelea tu manake heri ww zero IQ juzi tu analalamika humu tumpe ushaur juu ya namna ya kumtoroka dem guest ,,,,ila kama kawa tumia kikokotoo cha zamani tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kua mambo haya ni spirit ndani ya mtu.amini ya kwamba ukienda kumgegeda na wa kwako ulikomuacha atakua anagegedwa.kwa ufupi ni hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ata Mimi hii ishu ilishawahi kunitokea nilitoka na Basi ya dar lux kutokea dar to mwanza nikiwa nimepanda na mtoto mkali huyu hakunipa shidaa tulifika igunga SAA 6 usiku tukalala pale kuna baridi mno nikala mzigo mpaka SAA 04:30 kumi na 11 tukaondokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo.

Mzee wa kasumba nipo safarini naelekea MWANZA natoka MBEYA.

Jirani yangu hapa ni mtoto mkali flani hivi. Uzalendo ukanishinda ikabidi nimtupie swaga. Baada ya mikiki mikiki kidogo hatimaye vocal zikaeleweka.

Sasa basi---_
Magari haya ya MBEYA - MWANAUME huwa yanalala njiani sehemu iitwayo IGUNGA. hapo tumepanga kwenda kubomoana Kisha asubuhi tunaendelea na Safari.

Swali:_ kwa

Wanasayansi/wahenga/waganga/wanajimu/wachungaji nk

Je kuna ubaya wowote kumgegeda mwanamke safarini???

Asanteni.

CC: Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamatatizo ya akili, tafuta ushauri wa maisha na jinsi yakufanya mambo yamana, sio ushauriwe dhinaaa.
 
Mkuu najua umepakia bus la Best Line, nakusubiria hapa igunga uje nae nipige kimoko! Mademu kama sigara bhn HATUNYIMANAGI
 
Abiria chunga mzigo wako. Nisingependa ulete mada jinsi ulivyoibiwa na abiria mwenzako
 
Back
Top Bottom