Chama kinachotegemea vyama vingine vitengeneze viongozi halafu chenyewe kije kuvuna mwishoni wakishakuwa na majina makubwa ni chama "chuma ulete".Mkuu, huyu wa sasa ni mwanamama. Ni mwanaharakati pia. Haitazuia kitu nafasi ya mwisho ya majaribio akipewa mwanamke
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kutumia ubongo vizuri kuwaza vitu venye mantiki. Ambavyo vinavowezekana.Akili ni ipi?
Vijana wa CHADEMA akili zao ni zero kabisa. Kwanza bado hawajui tu kwanini CCM inamfanya Rais kuwa mwenyekiti.Chama kinachotegemea vyama vingine vitengeneze viongozi halafu chenyewe kije kuvuna mwishoni wakishakuwa na majina makubwa ni chama "chuma ulete".
Hakitaki kufanya kazi ya kutengeneza viongozi wake, kinataka kuchuma viongozi ambao wameshatengenezwa na vyama vingine.
Chama hiki kupewa majasusi wa kukiua ni kitu rahisi sana.
Rais Sasha Fierce Queen Bee hawezi kujiunga CHADEMA kwa sababu qnajua tayari uongozi anao CCM.
CHADEMA akafuate nini?
Yani unataka ajiuzulu urais ili arudi kufanya kampeni mpya ya kutafuta urais kwa tiketi ya CHADEMA?
Uwezekano huo ni mdogo sana.Nimesikia ndani ya CCM kuna watu wachache wanajaribu kupelekesha mambo ili Mama asipewe Uenyekiti wa chama. Huku lengo hasa likiwa i kukitumia chama kumthibiti, yaani awe anaongoza nchi kwa kuamrishwa au kupagiwa na CCM nini cha kufanya!
Natamani sana hilo kosa lifayike kwani lazima litaleta mvutano kati ya rais na mwenyekiti, hapa aaweza kutumia vema mamlaka yake ya kikatiba kukifuta chama, na harakaharaka akaanzisha utaratibu wa mgombea binafsi! Hapa CCM itakuwa imejizika moja kwa moja!
Ingekuwa si hayati, pengine leo angekuwepo, ila angekuwa ni mpenzi mtazamaji. Kingemtokea cha Trump kama tungalikuwa na taasisi imara.Chama kinachotegemea vyama vingine vitengeneze viongozi halafu chenyewe kije kuvuna mwishoni wakishakuwa na majina makubwa ni chama "chuma ulete".
Hakitaki kufanya kazi ya kutengeneza viongozi wake, kinataka kuchuma viongozi ambao wameshatengenezwa na vyama vingine.
Chama hiki kupewa majasusi wa kukiua ni kitu rahisi sana.
Rais Sasha Fierce Queen Bee hawezi kujiunga CHADEMA kwa sababu anajua tayari uongozi anao CCM.
CHADEMA akafuate nini?
Yani unataka ajiuzulu urais ili arudi kufanya kampeni mpya ya kutafuta urais kwa tiketi ya CHADEMA?
Wewe jipange kutengeneza viongozi ndanibya chama chako.Ingekuwa si hayati, pengine leo angekuwepo, ila angekuwa ni mpenzi mtazamaji. Kingemtokea cha Trump kama tungalikuwa na taasisi imara.
Ishu ya Sasha huyo ni kuwa kwa sasa hawezi kuacha madaraka, ila pindi muhula utakapokwisha na wakati huo figisu zikipamba moto ndani ya chama chake, ndipo baaada ya kuhakikisha sheria za uchaguzi ziko sawa, kwa maana ya kumruhusu kuhamia chama kingine bila kuwepo masharti ambatanishi, ndipo chama kiamue mustakabali wake
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Na vipi akipata rabsha na kutaka kuanzisha chama chake. Hilo ndilo linawezekana? Nani alidhani ingetokea siku Maalim (RIP) angehamia ACT? As far as you do not feel guilt when masturbating, pleasure is the sameWewe jipange kutengeneza viongozi ndanibya chama chako.
Acha uchu wa kutokea macho viongozi walio katika vyama vingine ambao hunanuwezo wa kuwapata.
This is simply political masturbation.
Rais akijiunga CHADEMA hapo hapo urais wake unakoma inabidi uchaguzi mpya ufanyike agombee urais kama mwanachama wa CHADEMA.
CHADEMA wengine nyie acheni tamaa ya fisi kutegemea mkono wa mtu uanguke aule, tengenezeni viongozi wenu, pateni ushindi kivyenu.
Hamjajifunza kwa Shibuda, Lowassa na Sumaye tu?
Tatizo la siasa zetu zinazunguka watu badala ya sera. Halafu kuna watu majununi humu hata huwezi kujua wapi wako serious wapi wanatania.Kwani unadhani anaanisha. Alikuwa anaota. Ok. Ukienda Ndani zaidi. Wanaandika such nonsense kwa malengo ya kujifariji na kutaka kueleza kuwa mwendazake hawakumuunga mkono Sasa ndo huyu Ni zaidi ya yule. Sio mbaya kujifariji.