Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,096
2,000
Chadema hamtajifunza toka 1992 tabia ni zilezile kwa watu wale wale, yaani toka mzee Samuel Malecela akiwa kiongozi hadi leo amestaafu chadema bado tabia zilezile na hamjaijua ccm ambayo ndiyo mshindani wenu. Mnafeli wapi lakini???
Hiyo inaitwa bandu bandu. Huenda mwanamama safari hii akaipasua rasmi ccm

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,733
2,000
Wishful thinking! CCM siyo chama cha kisiasa kama hivi vingine wanavyoshindana navyo. Kuendelea na mtazamo wako ni sawa tu na fisi anayetembea nyuma ya mwanadamu akitegemea mkono utadondoka apate mlo wake. CHADEMA wanatakiwa wajipange na ajenda zao ili muda muafaka ukifika wapambane vyema na CHAMA TAWALA.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
57,643
2,000
Mkuu, huyu wa sasa ni mwanamama. Ni mwanaharakati pia. Haitazuia kitu nafasi ya mwisho ya majaribio akipewa mwanamke

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Chama kinachotegemea vyama vingine vitengeneze viongozi halafu chenyewe kije kuvuna mwishoni wakishakuwa na majina makubwa ni chama "chuma ulete".

Hakitaki kufanya kazi ya kutengeneza viongozi wake, kinataka kuchuma viongozi ambao wameshatengenezwa na vyama vingine.

Chama hiki kupewa majasusi wa kukiua ni kitu rahisi sana.

Rais Sasha Fierce Queen Bee hawezi kujiunga CHADEMA kwa sababu anajua tayari uongozi anao CCM.

CHADEMA akafuate nini?

Yani unataka ajiuzulu urais ili arudi kufanya kampeni mpya ya kutafuta urais kwa tiketi ya CHADEMA?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,233

Rais Sasha Fierce Queen Bee hawezi kujiunga CHADEMA kwa sababu qnajua tayari uongozi anao CCM.

CHADEMA akafuate nini?

Yani unataka ajiuzulu urais ili arudi kufanya kampeni mpya ya kutafuta urais kwa tiketi ya CHADEMA?
Vijana wa CHADEMA akili zao ni zero kabisa. Kwanza bado hawajui tu kwanini CCM inamfanya Rais kuwa mwenyekiti.

Huyo Rais na Mwenyekiti wa chama ndio mteuzi wa maDED, RCs na DCs.

Vyama vya upinzani vikienda kugombea huko majimboni, vinabaki kupambana na DEDs, RCs na Dcs huku CCM wakipata nafuu.

Halafu mtu anayedhani wanaCCM watamsumbua Samia anajidanganya. Labda mwenyewe akubali hilo.
 
mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
882
1,000
Nimesikia ndani ya CCM kuna watu wachache wanajaribu kupelekesha mambo ili Mama asipewe Uenyekiti wa chama. Huku lengo hasa likiwa i kukitumia chama kumthibiti, yaani awe anaongoza nchi kwa kuamrishwa au kupagiwa na CCM nini cha kufanya!
Natamani sana hilo kosa lifayike kwani lazima litaleta mvutano kati ya rais na mwenyekiti, hapa aaweza kutumia vema mamlaka yake ya kikatiba kukifuta chama, na harakaharaka akaanzisha utaratibu wa mgombea binafsi! Hapa CCM itakuwa imejizika moja kwa moja!
 
Uwezekano huo ni mdogo sana.

Wakimnyima Uenyekiti tutasema CCM ni chama kinachonyanyapaa wanawake.

Kwa sababu marais wote wanaume waliopita wamekuwa wenyeviti wa CCM.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,312
2,000
Tatizo akijivua uanachama Ina maana kikatiba anakuwa amejivua na urais sasa sijui kama unataka kusikia kinachofuata.
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,096
2,000
Chama kinachotegemea vyama vingine vitengeneze viongozi halafu chenyewe kije kuvuna mwishoni wakishakuwa na majina makubwa ni chama "chuma ulete".

Hakitaki kufanya kazi ya kutengeneza viongozi wake, kinataka kuchuma viongozi ambao wameshatengenezwa na vyama vingine.

Chama hiki kupewa majasusi wa kukiua ni kitu rahisi sana.

Rais Sasha Fierce Queen Bee hawezi kujiunga CHADEMA kwa sababu anajua tayari uongozi anao CCM.

CHADEMA akafuate nini?

Yani unataka ajiuzulu urais ili arudi kufanya kampeni mpya ya kutafuta urais kwa tiketi ya CHADEMA?
Ingekuwa si hayati, pengine leo angekuwepo, ila angekuwa ni mpenzi mtazamaji. Kingemtokea cha Trump kama tungalikuwa na taasisi imara.

Ishu ya Sasha huyo ni kuwa kwa sasa hawezi kuacha madaraka, ila pindi muhula utakapokwisha na wakati huo figisu zikipamba moto ndani ya chama chake, ndipo baaada ya kuhakikisha sheria za uchaguzi ziko sawa, kwa maana ya kumruhusu kuhamia chama kingine bila kuwepo masharti ambatanishi, ndipo chama kiamue mustakabali wake

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
57,643
2,000
Ingekuwa si hayati, pengine leo angekuwepo, ila angekuwa ni mpenzi mtazamaji. Kingemtokea cha Trump kama tungalikuwa na taasisi imara.

Ishu ya Sasha huyo ni kuwa kwa sasa hawezi kuacha madaraka, ila pindi muhula utakapokwisha na wakati huo figisu zikipamba moto ndani ya chama chake, ndipo baaada ya kuhakikisha sheria za uchaguzi ziko sawa, kwa maana ya kumruhusu kuhamia chama kingine bila kuwepo masharti ambatanishi, ndipo chama kiamue mustakabali wake

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Wewe jipange kutengeneza viongozi ndanibya chama chako.

Acha uchu wa kutokea macho viongozi walio katika vyama vingine ambao hunanuwezo wa kuwapata.

This is simply political masturbation.
 
Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,096
2,000
Wewe jipange kutengeneza viongozi ndanibya chama chako.

Acha uchu wa kutokea macho viongozi walio katika vyama vingine ambao hunanuwezo wa kuwapata.

This is simply political masturbation.
Na vipi akipata rabsha na kutaka kuanzisha chama chake. Hilo ndilo linawezekana? Nani alidhani ingetokea siku Maalim (RIP) angehamia ACT? As far as you do not feel guilt when masturbating, pleasure is the same
 
nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,189
2,000
Nitofautiane na wewe mkuu, hakuna mwanachadema kindakindaki anayemtakia mama mafanikio ktk uongozi wake.
Hawa ndiyo unawasikia wanampangia mama majukumu mf. fukuza PM, toa rc flani, weka flan n.k.
Yani wanataka miamba yote itoke then turudi tulipotoka wapate cha kusema.
Vinginevyo nakubariana na wewe ktk sentensi yako ya kwanza maana viongozi wa dizaini hiyo ni nadra sana kuwapata.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
32,071
2,000
Vile MATAGA wamekuwa disappointed baada ya kusoma habari hii!😄😄😄
202104203757.jpg
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,760
2,000
Kweli we nchi kavu. Ukaota. Ukaamka. Ukaota kabla ya kuamka ukaandika. Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kumuuunga mkono Rais wa chama tawala. Labda moyoni Lakini sio hadharani. Hiyo itamaanisha kuwa wamejitoa upinzani. Ndo mana wewe mkuu endelea kuota.
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,760
2,000
Rais akijiunga CHADEMA hapo hapo urais wake unakoma inabidi uchaguzi mpya ufanyike agombee urais kama mwanachama wa CHADEMA.

CHADEMA wengine nyie acheni tamaa ya fisi kutegemea mkono wa mtu uanguke aule, tengenezeni viongozi wenu, pateni ushindi kivyenu.

Hamjajifunza kwa Shibuda, Lowassa na Sumaye tu?

Kwani unadhani anaanisha. Alikuwa anaota. Ok. Ukienda Ndani zaidi. Wanaandika such nonsense kwa malengo ya kujifariji na kutaka kueleza kuwa mwendazake hawakumuunga mkono Sasa ndo huyu Ni zaidi ya yule. Sio mbaya kujifariji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom