Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

Ukihama ccm ndiyo mwisho wako, mama analijua hilo wala hatahangaika kuhamia chadema wakati anajua uimara wa ccm ambayo wewe unasema ni dhaifu. Marehemu I dd Simba aliwahi kusema; usimuone mlevi anapepesuka ukadhani amelewa" hiyo ndiyo ccm

Ukihama CCM ndio mwisho wako. Sawa kabisa. Sababu hasa CCM ndiyo dola yenyewe. Haitakaa itoke madarakani kwa “vikaratasi”.
 
Auwezi kuutenga URAIS wa TANZANIA na CCM atakae jaribu hili ndio atajua kwanini Tanzania haikumwaga damu kupata uhuru.Nimalize kusema hakuna RAIS nje ya CCM.Kauli ya "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" inavitu karibu 150 ndani yake
 
Chadema hamtajifunza toka 1992 tabia ni zilezile kwa watu wale wale, yaani toka mzee Samuel Malecela akiwa kiongozi hadi leo amestaafu chadema bado tabia zilezile na hamjaijua ccm ambayo ndiyo mshindani wenu. Mnafeli wapi lakini???
Tunafeli kwenye matumizi ya vyombo vya dola kwenye uchaguzi. Hakuna pengine tunapofeli ndugu yangu.
 
Ahamie upinzani baada ya muda wake wa uRais kwisha? Kwa lengo gani? Halafu unajua kuwa Tanzania hakuna uRais nje ya CCM labda mapinduzi ya nguvu (violent) yafanyike na kufanikiwa? And that, that’s a pipe dream?
Kwa hiyo unaamini kuwa haitafika siku pakatokea mtifuano ndani ya ccm kiasi cha kuimega?
 
Auwezi kuutenga URAIS wa TANZANIA na CCM atakae jaribu hili ndio atajua kwanini Tanzania haikumwaga damu kupata uhuru.Nimalize kusema hakuna RAIS nje ya CCM.Kauli ya "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" inavitu karibu 150 ndani yake
Tafadhali tujulishe vichache ya hivyo 150
 
Aliyechoka kufikiria huamini, anajua sana.
 
Nachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.
 
Nachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.
Si kweli. Ingalikuwa hivyo basi ccm wangefanya fair play uchaguzi uliopita waone moto wake
 
Rais ameamua kudemka midundo ya wanazi wenzake. Sasa kazi anayo
 
Ishara ya awali tayari. Bado yajayo yanafurahisha
 
Nachowapongeza Chadema ni kuamini kuwa viongozi wanaopaswa kuongoza wapo CCM.
Kwenye hazina ya viongozi wa CCM Chadema wanatamani wapate viongozi kutokea humo.
Ccm wameazima viongozi wengi toka chadema kina kitila, waitara
 
Ajiunge chadema na kina mdee itakuwaje?siasa kweli mchezo mchafu!
 
Back
Top Bottom