hii habari kama sultani atarudi au hatorudi...kwa mzanzibari wa kawaida haina umuhimu sana. kwasabau maisha ya wazanzibari yamekua magumu % 100. kulinganisha na miaka ya zamani. kwahiyo fahari ya kutawaliwa na mtu mweusi
mwenzetu haina faida na sisi. kwasababu, kıla unachukijia kitu cha muhmu kwa maisha ya binaadamu ni tabu...maji tabu,umeme, chakula, huduma za afya vile vile...kwahiyo hawa masultani wa tanganyika wameshindwa kutoa huma kwa watu wao...the whole country(zanzibar) has been reduced to total poverty.
hebu waulizeni hawa wanaoitawala zanzibar hivi sasa ...je, zanzibar hii iliyoko sasa ndio walioichukua kwa sultani? kwanini,zanzibar isiendelee? kwanini,iwe fahari ya kutawaliwa na mtu mweusi kama ,hakuna faida yoyote kwa mzanzibari wa kawaida? kama wanasema uhuru, huu sio uhuru kama huduma hakuna,(maji,umeme,kula,matibabu) na imefikia wakati unakwenda hospitalini
na ikitoke kama wapige x-ray,majibu huyapati mpaka baada ya wiki. picha zinapelekwa bara ,baadae ndio majibu yanarudi...hii ndio nini? ule utwala mbovu wa tanganyika unaletwa zanzibar kwa kulazimisha...thats all.
Ni Kwasababu Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na CCM kwa ujumla wote badala kuangalia maendeleo wao wamekaa na kukalia mapinduzi tu hawafanyi kazi, hawafaidishi nchi ni mapinduzi na mapinduzi na wao.
Muda wote wanaspend katika masherehe na makaratasi ya mapinduzi unafikir wana muda wa kutafuta shughuli za maendeleo!!!! wewe subiri kampeni zianze utaona vituko