Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

hii habari kama sultani atarudi au hatorudi...kwa mzanzibari wa kawaida haina umuhimu sana. kwasabau maisha ya wazanzibari yamekua magumu % 100. kulinganisha na miaka ya zamani. kwahiyo fahari ya kutawaliwa na mtu mweusi
mwenzetu haina faida na sisi. kwasababu, kıla unachukijia kitu cha muhmu kwa maisha ya binaadamu ni tabu...maji tabu,umeme, chakula, huduma za afya vile vile...kwahiyo hawa masultani wa tanganyika wameshindwa kutoa huma kwa watu wao...the whole country(zanzibar) has been reduced to total poverty.
hebu waulizeni hawa wanaoitawala zanzibar hivi sasa ...je, zanzibar hii iliyoko sasa ndio walioichukua kwa sultani? kwanini,zanzibar isiendelee? kwanini,iwe fahari ya kutawaliwa na mtu mweusi kama ,hakuna faida yoyote kwa mzanzibari wa kawaida? kama wanasema uhuru, huu sio uhuru kama huduma hakuna,(maji,umeme,kula,matibabu) na imefikia wakati unakwenda hospitalini
na ikitoke kama wapige x-ray,majibu huyapati mpaka baada ya wiki. picha zinapelekwa bara ,baadae ndio majibu yanarudi...hii ndio nini? ule utwala mbovu wa tanganyika unaletwa zanzibar kwa kulazimisha...thats all.

Ni Kwasababu Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na CCM kwa ujumla wote badala kuangalia maendeleo wao wamekaa na kukalia mapinduzi tu hawafanyi kazi, hawafaidishi nchi ni mapinduzi na mapinduzi na wao.

Muda wote wanaspend katika masherehe na makaratasi ya mapinduzi unafikir wana muda wa kutafuta shughuli za maendeleo!!!! wewe subiri kampeni zianze utaona vituko
 
Ili kuleta mapatano ya kweli (kama anavyosema Lula) basi hatima ya Sultani na uzao wake ni lazima ijadiliwe.
Sultani hatakiwi ajadiliwe katika msingi wa kurudi kisiasa kwa sababu yeye na uzao wake sio Wazanzibari. Wao ni WaOmani. Walikuja Africa kuchuma na kutumikisha watu mweusi mpaka tulipojikomboa. Kinachotakiwa kujadiliwa ni 'reparation' kwa Wazanzibari asilia kutokana na utajiri na mahekalu sultani na nduguze waliyojilimbikizia kwa kuwatumikisha waafrika.
 
Ni Kwasababu Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na CCM kwa ujumla wote badala kuangalia maendeleo wao wamekaa na kukalia mapinduzi tu hawafanyi kazi, hawafaidishi nchi ni mapinduzi na mapinduzi na wao.

Muda wote wanaspend katika masherehe na makaratasi ya mapinduzi unafikir wana muda wa kutafuta shughuli za maendeleo!!!! wewe subiri kampeni zianze utaona vituko
Angalau umetambua kuwa tatizo la Zanzibar ni uongozi na sio Muungano. Tuwe wawazi, umasikini unaosambaa Zanzibar ni wa kujitakia kwa raia wake na viongozi kushindwa kubadilisha utegemezi wao wa karafuu hasa baada ya zao la Karafuu kudidimia. Maisha yatakuwaje mazuri wakati vyanzo vya mapato vinatokomea ingawa watu hawaachi kuzaana? Biashara ya Zanzibar bila ya ushiriki wa watu wa Bara haiwezi kuchanuka maana market base ya visiwani ni ndogo sana.
 
Uongozi wa zanzibar ni matokeo ya Muungano, anayechaguliwa kuongoza zanzibar lazima awe either si chaguo la wazenj, au very weak au ni mchumia tumbo asiye faa kuongoza watu...

Wale ambao ni leaders wazuri kwa zanzibar, chaguo la wazanzibar hawapiti kwenye wingu nene la Muungano wanafakiliwa..mpaka siku wakijiamulia kiongozi wao, na wakapewa uwezo wa kumtoa vilevile bila bara labda wataweza kupata kiongozi wa kuwahudumia, vinginevyo viongozi wazanzibar wanahudumia matakwa ya muungano ili wabaki madarakani, au wanachumia tumbo zao na wazenj hawana namna ya kwaadhibu??

Muungano hapo ndipo unapoanza kuwa tatizo kwa zanzibar nionavyo mimi.
 
Uongozi wa Zanzibar ni matokeo ya uchaguzi halali Zanzibar licha ya kuwepo mapungufu. Maalim Seif kashindwa mara zote alizoshiriki lakini bado anataka aendelee kugombea kama vile watu wengine hawana uwezo wa kuongoza. Halafu badala ya kukubali matokeo akaamua kuwadanganya wafuasi wake na kukalia majungu badala ya kuwa effective opposition hasa baada ya kuwa na viti vingi vya wawakilishi. Zanzibar inarudishwa nyuma na majungu na siasa za masikani. Muungano ndio kitu pekee kinachoifanya isiingie kwenye vurugu kama za Comoro.
 
Uchaguzi wa Zanzibar haujawahi kuwa huru hata kwa wagombea wa CCM wenyewe, Wazenj walimtaka na alipita kwenye kura zao za maoni Bilal lakini bara wakamuweka karume (weak, corrupt and siyo chaguo lao)

Kuhus ucahguzi sio seif pekee anayelalamika kuwa kulikuwa na fouls play jumuiya zote huru ambazo zimeangalia mchakato wanasema uchaguzi umegubikwa na hila, mizengwe na nguvu za kijeshi kutoka bara hizo ni facts..acha kumuandama seif

Besides naona wewe uchaguzi wa CCM zanzibar ni halali kwa kuwa tu humpendi seif, lakini unalalamika wakicheza fouls busandra..hii ndio tunaiita double standards..great thinkers wake up!
 
Hakuna uchaguzi wowote ule wa demokrasia changa ambao utafanyika bila ya kuwa na glitches, iwe ni ndani ya vyama au kitaifa. Hata uteuzi wa Maalim Seif kugombea haukufanyika kidemokrasia ndani ya CUF ndio maana kila kukicha Seif ndie mgombea pekee wa CUF. Kwa hiyo ukilalamikia uchaguzi mkuu Zanzibar, usisahau pia kulalamikia ubabe wa Maalim Seif na demokrasia yake ndani ya CUF. Kisheria ni kuwa CCM walioshinda uchaguzi, kama CUF hawakukubali hilo, burden of proof iko kwao kuthibitisha otherwise. Bila hivyo CUF walitakiwa kushiriki kwenye kuiletea maendeleo Zanzibar na sio kuihujumu kama alivyofanya Maalim Seif na wapambe wake kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Hali ngumu Zanzibar inachangiwa kwa kiasi kikubwa na CUF kwa kueneza uzandiki na fitina kati ya Wazanzibari.
 
Hii katiba sisi huku Zanzibar hatuitambui, kwa hiyo usije hapa na vitisho vya katiba hiyo chafu na yenye viraka.Sawa?
MrFroast, Wewe na nani ndio ambao hamuitambui katiba yetu? Sultani najua haitambui lakini CUF najua wanaitambua ndio maana wanashiriki chaguzi. Sasa labda utuambie kuwa na wewe unapigania usultani ndio maana huitambui katiba yetu tuliyoipata baada ya kujikomboa toka kwa mwarabu.
 
naona mnazungumzia watu na si mfumo, karume na seif ni watu kama wanamatatizo ni yao binafsi lakini cha msingi tujadili mapungufu ya muungano
 
Wapo wenye nia ya kujadili mapungufu ya Muungano, lakini kuna wachache ambao bila ya Sultani kurudishwa hawataridhika. Hawa inatakiwa (ikibidi) tuwakate vichwa kama alivyofanya Mzee Karume ndio watakapojua kuwa kweli tunauchungu na Usultani.
 
KUBWAJINGA

Tukianza kukatana vichwa tutachafua amani na utulivu wetu, cha msingi ni kwa jamii kufanya majadiliano ya kina na tupate suruhu, tanzania kuna matatizo mengi kuanzia vijijini mpaka ngazi ya taifa , kwa hiyo wananchi ni wakati wetu wa kulisaidia taifa letu,
 
MrFroast, Wewe na nani ndio ambao hamuitambui katiba yetu? Sultani najua haitambui lakini CUF najua wanaitambua ndio maana wanashiriki chaguzi. Sasa labda utuambie kuwa na wewe unapigania usultani ndio maana huitambui katiba yetu tuliyoipata baada ya kujikomboa toka kwa mwarabu.
Kawaulize SMZ ni kwanini wanatengeneza sera za Mafuta na Gesi asilia, wakati katiba yako hiyo yenye viraka ya SMT ishasema kuwa suala hilo ni la muungano.

Unafikiria bure tuu BLW linaamua kufanya hivyo?Kwasababu hawaitambui katiba hiyo, hii katiba mwisho wake ni Tumbe :cool:
 
Wapo wenye nia ya kujadili mapungufu ya Muungano, lakini kuna wachache ambao bila ya Sultani kurudishwa hawataridhika. Hawa inatakiwa (ikibidi) tuwakate vichwa kama alivyofanya Mzee Karume ndio watakapojua kuwa kweli tunauchungu na Usultani.
Huyo sultani sisi huku Zanzibar ni kipenzi chetu, na nikisema sisi nakusudia wazanzibari tukiwakilishwa na Salmin Amour tumemkaribisha arudi Zanzibar.Tumefanya hivyo kwasababu Sultani ni mzanzibari na anayo haki ya kurudi visiwani Zanzibar na kuishi kama raia mwengine yoyote.

Sijuwi wewe mmasai unasumbuliwa nini na sultani?Pengine si sultani peke yake, hata wazanzibari na visiwa vyao vinakufanya usipate usingizi kama babu yako Nyerere :cool:
 
Kaazi kweli kweli!

1. Wakati EU wanajiunga kuwa kitu moja..wakati mataifa makubwa yanaungana kuwa na nguvu zaidi..leo hii eti Tz tuko 41m ..sehemu ya Visiwani ya 1 m tunaongea maneno ya kujitenga!
URT!
La hasha!!!
Katika utengano kuna nguvu ya kushirikiana kwa haki na kwa kupenda ndio maana Czech na Slovakia ambazo sasa ziko EU zilitengana na sasa zinashirkiana. Kujiunga kusiwe bora kujiunga, ni hatari na udiktete wa waliopo madarakani!!
 
Kawaulize SMZ ni kwanini wanatengeneza sera za Mafuta na Gesi asilia, wakati katiba yako hiyo yenye viraka ya SMT ishasema kuwa suala hilo ni la muungano.

Unafikiria bure tuu BLW linaamua kufanya hivyo?Kwasababu hawaitambui katiba hiyo, hii katiba mwisho wake ni Tumbe :cool:
Nilifikiri utasema kuwa wanatengeneza sheria ya kuvunja katiba ya Muungano. Mbona hawafanyi hilo kama unayosema ni kweli juu ya SMZ vs Muungano? Jifurahishe kwa porojo, Muungano daima.
 
Huyo sultani sisi huku Zanzibar ni kipenzi chetu, na nikisema sisi nakusudia wazanzibari tukiwakilishwa na Salmin Amour tumemkaribisha arudi Zanzibar.Tumefanya hivyo kwasababu Sultani ni mzanzibari na anayo haki ya kurudi visiwani Zanzibar na kuishi kama raia mwengine yoyote.

Sijuwi wewe mmasai unasumbuliwa nini na sultani?Pengine si sultani peke yake, hata wazanzibari na visiwa vyao vinakufanya usipate usingizi kama babu yako Nyerere :cool:
Mwarabu wangu MrFroasty wewe lazima umpende mmanga mwenzako, maana wote ni wa kuja. Lakini Sultani anajua wazi kitakachomfika akitua ardhini kwetu Zanzibar maana damu ya Mapinduzi bado tunayo. Kuna ndege kila siku tokea LON, kwa nini asipande na kuja kwa watwana wake kama anakubalika?
 
Mmmmh mie mwananchi nimekimbia, aende Zanzibar kuna kipi cha kumpeleka huko...GIZA?
 
Ndio maana mie nimeacha kulumbana nao kaka hamna lolote zaidi ya conspiracy theory ambazo hazina basis yeyote wala impact yeyote kwa jamii na naona majadiliano na mtu ashaweka katika mind yake mtazamo duni ni ngumu kumbadilisha achana nao ndugu yangu!!!!
 
Back
Top Bottom