William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Duh!
Mmeshaanza siasa zenu za matisho, kutishia watu wanaodai nchi yao eti washikwe wawakwe ndani mafia..mbona mtajaza mafia kwa wananchi wote wapenda haki wakiwemo wabara wasiopenda huo muungano .what is so special with zenj? si muwaachie nchi yao wakiwa chini ya sultan so it be! mbona tanganyika mko chini RA
Again, mnazungumzia katiba as if katiba inahudumiwa badala ya katiba kuhudumia matakwa ya wananchi wakitaka kujitenga waende zao ni matakwa yao wabadilishe katiba iwahudumie period!
Tuambieni faida za muungano kwa Tanganyika sisi wagogo wa dodoma tunafaidi nini na muungano? kwanini tushughulikie na kutumia resources kufanya koloni nchi ya watu...sioni mantiki zaidi ya matisho na ubabe wa wabara..
Guess what tunapata gharama za bure kuendesha muungano usio na faida yeyote kwa Tanganyika?
- Hata wakoloni walitupatia nchi kwa kutumia sheria na katiba, haikuwa tu holela holea waacehie tu nchi maana ni yao, hapana mkuu hii ni dunia ya katiba na sheria, kama kweli Visiwani hawataki Muungano watumie haki zao kikatiba na kufuata taratibu za kisheria, wanaweza kwenda UN kulalamikia nchi yao, au kule the Haque.
- Tunategmea viongozi wote wa Muungano kuelewa hilo kwamba wamezikuta sheria waziheshimu kama hawawezi waachie ngazi, lakini hatuwezi kupigishana makelele yasiyo na sababu wakati sheria zipo wazi na haizimzuii anybody kudai anything, ila iwe kwa kuheshimu katiba na sheria za jamhuri.
- Muungano unanifanyia nini au haunifanyii nini it is a none-ishu, sio kila kitu cha serikali kinanipa faida, kuna ambavyo vinawapa faida wengine ambao ni wananchi kama mimi, wasiotaka Muungano wafuate sheria na katiba, kama sisi tulivyofuata sheria na katiba kudai uhuru kwa wakoloni.
Respect.
FMEs!