Mke wangu amejifungua jana baby gal .
Nimeombwa na Mamaake nimpe jina , nimempa jina escrow .
Hoja , kuna tatizo kumpa jina hili ?
Ahaa ndugu yangu tutake radhimmh kama we mmakonde mwite tu hakuna ubaya wowote maana wamakonde majina huendana na matukio huko ndio kuna kina osama boko haramu ukawa katiba na mengine mengi
mwite Mhongo ataweza kuwa profesa baadaye