Kuna ubaya gani mwanangu kumpa jina hili Escrow?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,776
Mke wangu amejifungua jana baby gal .
Nimeombwa na Mamaake nimpe jina , nimempa jina escrow .
Hoja , kuna tatizo kumpa jina hili ?
 
Last edited by a moderator:
ㅕ미ㅗ 너ㅓㅣ ㅓ너ㅣ푸뉴ㅣㅐㄴ펀너ㅣㅠㅗ네ㅔㅣㄴ펴ㅕ노ㅓㅏ뉴ㅠ미ㅜㅊ녀ㅑ느뮤ㅓ
 
Mke wangu amejifungua jana baby gal .
Nimeombwa na Mamaake nimpe jina , nimempa jina escrow .
Hoja , kuna tatizo kumpa jina hili ?

mmh kama we mmakonde mwite tu hakuna ubaya wowote maana wamakonde majina huendana na matukio huko ndio kuna kina osama boko haramu ukawa katiba na mengine mengi
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom