So wanasubiri maji yazidi ndiyo wafanye maamuzi magumu?Masele alisema maji yakizidi watafanya uamuzi mgumu tu
Hayo maamuzi magumu ni yapi?
Labda wajichinje hadharani otherwise mambo yote ni kawaida tu
So wanasubiri maji yazidi ndiyo wafanye maamuzi magumu?Masele alisema maji yakizidi watafanya uamuzi mgumu tu
So wanasubiri maji yazidi ndiyo wafanye maamuzi magumu?
Hayo maamuzi magumu ni yapi?
Labda wajichinje hadharani otherwise mambo yote ni kawaida tu
Huyo mzungu anaongea na wewe unayejiona una akili timamu na unakaa unamsikiliza anachotaka na utafuata anachosema.
ccm wote huwa ni waongo,akitokea mkweli taifa hushangaa
teh teh teh ...mzee mwinyi alishasema.hili gali bovu,najua kabla hujaandika kanyaga twende ulikuwa hujui klachi,breki na ekseleleta zimedondoka mlima.kitonga,hakuna cha kukanyanga.
naona dereva katoa mguu nje unakwaruza lami ili uwe kama.breki
nape yuko bize na muswada wa huduma za vyombo vya habari ili shetani afufuke aje aifungie jamii forumsKwa mwendo wa wabunge wa ccm kuiponda serikali yao hali ya mambo haitakua shwari kwa viongozi watukufu sana!! Kama sio kinana bas mkuu mwenyewe atafanya kikao na wabunge kuwapunguza kasi watu wao. Hili halitakua jipya mara kadhaa ikitokea hali kama hii viongoz hutokea dodoma kuweka mambo sawa!
Mwendo huu wa ukosoaji lazma nape asemelee!! Yaan JPM kukosolewa hivi hawez vumilia. Sijafikilia kama Dada Tulia atatulia bila kusema kwa mkuu wa kaya!!
Maana kwa mwendo huu wale wenye kazi ya kumsifia mfalme watakosa nafasi ya kuchangia. Katikati ya michango ya wabunge kama Bashe na Ahmed ally Lusinde ataongea cha maana kipi hadi wabunge wampigie makofi?? Yaan nawahakikishia Lusinde na wengineo wale wa kusifia wataomba kuchangia wiki ijayo.
Ushauri kwenu wabunge, msikubali kupigwa mikwala, nyie akina jecca wakat mwingine hushindwa kuwabeba mtaenda na maji. Mkuu anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kupewa ushindi wa mezani!! Kingine maisha magumu hayachagui wewe chama gani!! Haya ngoja twende!!
Siku zote walikuwa wapi wakamwacha yule mama akikanyaga katiba na kanuni za bunge?Wabunge wanatimiza majukumu yao hapo na hakuna usaliti.
Kwani sasa posho hakuna Mkuu??Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. Walipokuwa kwenye dunia ya posho n.a. kujilipa walijisahau sana.
Hahahahahahha Mpwa acha utani ujueLusinde akiomba kuchangia kwenye mpango wa Mpango, nahamia Dodoma