Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea?

Kuna "Uasi" wa Wabunge wa CCM unaendelea?

Kama vile naona Tanzania ya mabadiliko, mkuu wa kaya aliposema mabadilo yatakuja kumbe alijua chanzo cha umaskini ni mule bungeni...badala wabunge waweke maslah ya taifa mbele wanenda kuchkua Posho. Akibana hivi kwa miaka mitatu mbele basi tukua tunapata viongozi makini na siyo wapiga dili
 
Naona ndiyo mzee inaanza kuftika mule mjengoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuwaamiani wabunge wa Ccm, subiri mida ya kupitisha miswada na ndio utajua walikuwa wanamaanisha au ni maigizo
 
nA BADO sisiem mtaisoma namba
 
Bora serikali ibane zaidi ya hapo, mzee wa visasi mpenda kusifiwa baada ya kusikia haya atabana zaidi kutaka kuwakomoa, hapo Ndio itakuwa mbwaimbwai, wacha wao wamwage ugali na sisi tunakula mboga mchezo kwisha.
 
Hakuna uasi wowote hapo. Kuna mawazo mbadala. Shida ni hawa watu wasioamini katika kukosoana.
 
Hizi topic leo zimejaza jukwaa la siasa. Wiki mbili zilizopita zilijaa topic kila moja unakuta imeanza na kichwa cha habari kama "Afadhali ya JK" au "Tutamkumbuka JK". Kuwa nyumbu yataka moyo maana inabidi uwe na tabia kama za mchawiii😀😀😀
 
Kwa viwango vya chadema huo ni uasi na ni wasaliti na wachumia tumbo, kwa CCM hao wanaitwa wabunge machachari, tutakutana nao kwenye NEC
 
Lugha ya uasi hupatikana cdm tu mkuu. CCM hakuna hiyo kitu uko huru kuongea unachodhani ni sahihi na kugombea madaraka unayoona utayamudu. Lkn CDM ukionyesha dalili ya kugombea uenyekiti lazima utaitwa muasi. Kumbuka zito kabwa. Na ukionyesha usugu, uhai huna. Nadhani kumbukumbu unayo tusiwakumbushe machungu ndugu wa Marehemu.
 
Hivi unafikiri CCM ni kama chadema?

CCM kuna uhuru wa mtu kukosoa na kusifia!

Hilo huwezi kulikuta chadema, yatakukuta ya Zitto!
 
Moto umewaka, we acha tu, yaani sasa kumekucha,wameamua kumvua nguo zote.
 
Watakua wameguswa? wakae mstarini hakuna dili siku hizi mwenye nyumba kabana.........na hakuna anaye taka shida na mwenye nyumba tunati sheria bila shuruti

Kabana hadi kwenye vitafunio vya tembo! Mibunduki 11 imekamatwa hakuna pakutokea mwaka huu.
 
***
-->>HAKUNA UASI NI MASWALA YA KUWEKANA SAWA,ILI TUSONGE MBELE VYEMA./ HAIWEZEKANI KULIOGOPA JAMBO AMBALO PENGINE MIMI NA WEWE TUTAKAPOCHANGA FIKRA ZETU LITAKAA SAWA ZAIDI._ / WANADAMU WENZETU HAIPASWI KUWAOGOPA KAMA WANYAMA PORI.
 
Je, huu sio "uasi" kwa chama tawala? Je, haiwezi kuwa mwanzo wa kupata maendeleo ya kweli? Hope hamtaitwa kwenye vile vikao vyenu na kusulubishwa.
Ukiwa mpinzani akili unaziacha wapi? Kwahiyo ikitokea mbunge wa Chadema anaongea ya ukweli kukosoa mwenendo wa Chadema atakua muasi na yeye.
 
Back
Top Bottom