Kama kina democracy kingali futa uchaguzi zanzibar badala ya kushindwa na CUFBaba wa uasi (makundi)aling'olewa na kina Mang'ula!
Anyways CCM ni chama chenya demokrasia sio huko Chadema
CCM wote huwa ni waongo, akitokea mkweli taifa hushangaa.Ukiwa mpinzani akili unaziacha wapi? Kwahiyo ikitokea mbunge wa Chadema anaongea ya ukweli kukosoa mwenendo wa chadema atakua muasi na yeye
mzee mwinyi alishasema.hili gali bovu,najua kabla hujaandika kanyaga twende ulikuwa hujui klachi,breki na ekseleleta zimedondoka mlima.kitonga,hakuna cha kukanyanga.Magufuli kanyaga twende usiskilize la mteka maji wala mnadi swala.
Siku zote nimeamini kwamba kwa hawa jamaa kuiheshimu kazi yao, lazima pesa iondolewe mbele yao. Waende Dodoma kufanyakazi!. Finally tutapata wanaostahili kuwa wabunge badala ya watu wanaokwenda kufanya biashara.Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. Walipokuwa kwenye dunia ya posho n.a. kujilipa walijisahau sana.
Wangwe Chacha mimi unafiki staki ingawa nipo kundiniLugha ya uasi hupatikana cdm tu mkuu. CCM hakuna hiyo kitu uko huru kuongea unachodhani ni sahihi na kugombea madaraka unayoona utayamudu. Lkn CDM ukionyesha dalili ya kugombea uenyekiti lazima utaitwa muasi. Kumbuka zito kabwa. Na ukionyesha usugu, uhai huna. Nadhani kumbukumbu unayo tusiwakumbushe machungu ndugu wa Marehemu
Unamaanisha nini kuwa muwazo aiseeMe Nilipomuona Lowassa tu kaenda Bungeni nili smell something fishy kitanuka pale.. Yule mzee ni Shida... Kaenda Bukoba tu kwa Wahanga kila kitu kikaharibika hadi leo hii hawajaambulia cha kwao walichochangiwa na watu kwa mioyo mikunjufu...
Yule mzee sio mtu wa mchezo mchezo etii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me Nilipomuona Lowassa tu kaenda Bungeni nili smell something fishy kitanuka pale. ule mzee ni Shida. Kaenda Bukoba tu kwa Wahanga kila kitu kikaharibika hadi leo hii hawajaambulia cha kwao walichochangiwa na watu kwa mioyo mikunjufu.
Hakuna utetez wowote wa kuaminika utaeleweka kama hali ni ngumu mtaani. Siyo kweli kuwa mama lishe na wauza nyanya walikua na fedha za dili. Vingine ni visingizio tu kukwepesha ukweli. Ilitakiwa ukweli usemwe ili marekebisho yafanyike.Hao wabunge wanaotetea hela ya setikali ndio izungushwe kwenye mabenki bils kuzingatia inazungushwa kwa namna gani na sio kwa njia ya ubadhilifu na kifisadi bila shaka ni wale wadaka malisho waliobakia ccm. Serikali ya jpm inapsmbana na ubadhirifu na ufisadi serikali sasa kama matokeo yake ni kuyumba mabenki tujiulize! Mabenki gani yanategemea ubadhilifu na ufisadi serikalini ndio yaweza kustawi. Je huu ndio mstakabali mwema kwa kukua uchumi wa nchi au kujenga tabaka la wezi wanyonyaji wa wananchi wetu? Kuhusu wabunge unategemea nini kwa mtu kama bashe na wabunge wafanyabiashara. Wako kulinda maslahi yao. Lazima serikalu ya jpm isiyumbe na wabunge waasi wasionewe haya.
Murra machunguuu. Jamaa alionyesha dalili za kuutaka umbowe da kilichomkuta!Wangwe chacha mimi unafiki staki ingawa nipo kundini
Njaa inawasumbua. Kimsingi wanaenda bungeni kuchuma pesa sasa jpm kabana lazima wahamaki.Mi nimsifu Magu kwa kubana pesa. Hakika wabunge wasingeamka kama wagekuwa na posho ndefu. Asante J. Kaza kotekote tusome namba ili wabunge waisimamie serikali sawasawa.