Kuna tukio la kishirikina liliwahi kunitokea miaka kama 20 iliyopita na limebadilisha maisha yangu

Kama alijifunika hadi uso kwa hiyo alikua haoni vizuri ndio maana akakuweka vidole machoni kwa bahati mbaya sababu alikua anapapasa.
Ukishikwa bumbuwazi kwa kitendo kile au kwa muonekano wake, mambo yanakua magumu kwako sababu bado hujataka kuyafanya yawe mepesi unaendeshwa na hisia za kishirikina.

Your soul need a surgery.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Such a genius and brave person calling another person stupid without even knowing him.Wewe akili yako ni ndogo na una stress,badala ya kumsaidia aliyeleta uzi unakuja kunijibu mimi.Have you grown up?Shut your butt hole up and mind your fuckin bussiness.If you think you cant help huyo muongo stick your middle finger in your ass and smell it.
 
Lunatic, knowing you ain't a fact while you have shown everyone how stupid you are, low IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa woga mkuu fanya yale yanayotakiwa uyafanye kama mwanume vinginevyo utajuta na woga wako.hakuna cha baibui wala buibui..

Cataux
 
kwa hiyo ili mtu akufanyie hivyo lazima awe amevaa baibui?Sijapendezewa na hilo vazi ulilolishirikisha kwenye tukio lako.Kama nimekukwaza samahani.
Wapi umeambiwa anayekufanyia hivyo lazima avae baibui?

Yeye amesema aliyemfanyia hivyo alivaa baibui
 
Labda hakuwa mtu katika umbo la mtu
 
Hayo maislamu unayapenda bure tu

Yenyewe hayanaga mapenzi na mkristo hata kwa kusema kwako unawapenda hawatokusifu
 
Kwa upumbavu wake
 
Aisee kila kitu kina kanuni zaka ili kiweze kufanya kazi. Ili uchawi umfike mtu azurike kuna kanuni zake. Katika hiyo stori yako hizo kanuni hazipo. Hivyo kama umerogwa siyo katk tukio hilo. Angalia namna nyingine ya kutambua tatizo ulilo nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipokuwa form two , kuna jamaa zangu walikuja kunitembelea , baada ya kuondoka kesho yake mchana kweupe nikiwa bwenini nilisikia vitu vinanitekenya kichwani kama vindege ila havionekani . Kuanzia hiyo siku kumbukumbu zilipotea mpaka hata kusahau jina langu . Mpaka sasa ninaishi kiubishiubishi tu ! Wewe acha tu ! Dunia ina mambo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri uanze kwanza kubadili mtazamo wako..
Kuguswa na vidole na mtu wakati wa kushuka kwenye basi hakusababishi ukoo mzima msiwe na maendeleo..ingekuwa hivyo watu wanavyobanana na kugusana kwenye mwendokasi na daladala ingekuwa kuambukizana umasikini kwenda mbele.

Hivi ungeguswa hayo macho na mtu aliyevaa blauzi na sketi au shati na suruali ungeandika kwa kuzitaja pia hizo nguo? Au bado ungeona hilo tukio ni la kishirikina?

Uendelee tu na maombi na kupanga mikakati ya maendeleo bila kuonea donge wenzio walioendelea kwa juhudi zao
 
Bila kuacha hyo imani yakwamba ulilogwa na ukakubali kwamba matatzo uliyonayo wewe Ni yako mwenyewe hayajasababishwa na mtu yeyote yule iwe mchawi, raisi,wazazi, kaka ama Dada nk: hata Mungu hatokujibu maombi yako ila wewe ukiacha kuamini ivo utafunguka akili Ni namna gani unaweza kusolve matatzo yako ya kiuchumi,




Labda nikukumbushe wasomi wapo mkuu na hawana ajira so move on

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…