Kuna tukio la kishirikina liliwahi kunitokea miaka kama 20 iliyopita na limebadilisha maisha yangu

Kama alijifunika hadi uso kwa hiyo alikua haoni vizuri ndio maana akakuweka vidole machoni kwa bahati mbaya sababu alikua anapapasa.
Ukishikwa bumbuwazi kwa kitendo kile au kwa muonekano wake, mambo yanakua magumu kwako sababu bado hujataka kuyafanya yawe mepesi unaendeshwa na hisia za kishirikina.

Your soul need a surgery.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Such a low minded person, kwakua haijakutokea wewe then huna mamlaka ya kumuita mtu ni muongo, you're showing us how stupid you are... Pia iwapo nimepata tatizo na mhusika amevaa kama masista wa kikatoliki then katika kuelezea nishindwe kuelezea appearance ya mhusika kisa utakwazika sababu wewe ni mkatoliki?! Grow up, huu ni uwanja mpana huna la kuchangia keep your mouth shut

Sent using Jamii Forums mobile app
Such a genius and brave person calling another person stupid without even knowing him.Wewe akili yako ni ndogo na una stress,badala ya kumsaidia aliyeleta uzi unakuja kunijibu mimi.Have you grown up?Shut your butt hole up and mind your fuckin bussiness.If you think you cant help huyo muongo stick your middle finger in your ass and smell it.
 
Such a genius and brave person calling another person stupid without even knowing him.Wewe akili yako ni ndogo na una stress,badala ya kumsaidia aliyeleta uzi unakuja kunijibu mimi.Have you grown up?Shut your butt hole up and mind your fuckin bussiness.If you think you cant help huyo muongo stick your middle finger in your ass and smell it.
Lunatic, knowing you ain't a fact while you have shown everyone how stupid you are, low IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa woga mkuu fanya yale yanayotakiwa uyafanye kama mwanume vinginevyo utajuta na woga wako.hakuna cha baibui wala buibui..

Cataux
 
kwa hiyo ili mtu akufanyie hivyo lazima awe amevaa baibui?Sijapendezewa na hilo vazi ulilolishirikisha kwenye tukio lako.Kama nimekukwaza samahani.
Wapi umeambiwa anayekufanyia hivyo lazima avae baibui?

Yeye amesema aliyemfanyia hivyo alivaa baibui
 
Kinachokutesa ni chuki uliyonayo dhidi ya hilo vazi la baibui na wavaaji wake hivyo usipokuwa makini utaendelea kuteseka hadi siku unaingia kaburini hakuna mtu wa kukuroga kwa staili hiyo kwanza mtu mwenyewe hata hamfahamiani sasa ni chuki gani itayomfanya akuroge wewe, usipodilika utaendelea kuteseka kwa ujinga wako ndugu
Labda hakuwa mtu katika umbo la mtu
 
Wengine nasoma post zenu nabaki tu kutingisha kichwa. Mimi toka mdogo na mpaka leo ni mtu ambaye yuko peace na watu wa dini zoote, si Wakristu na madhehebu yao, si Waislamu, si Wayahudi, nk. Sina kumbukumbu kama nimewahi kutamka neno ovu au la chuki dhidi ya dini, dhehebu au imani ya mtu, kutoka dhati ya moyo wangu. Wengine hamjui mnachoandika.

Mimi ni mkristu lakini wakati mwingine nilikuwa nahudhuria hata madarasa ya kiislamu nikiwa sekondari. Siku nyingine naingia kwa Walutheli, siku nyingine kwa Wakatoliki. Chekechea yangu ilikuwa ya Kiislamu. Niliwahi kupita nchi moja ya Kiislamu nikanunua vitabu vya Kiislamu.

Nia ya uzi huu ni kupata ushauri kwa sababu haya maisha nimeyaishi mimi na najua ninachokisema.
Hayo maislamu unayapenda bure tu

Yenyewe hayanaga mapenzi na mkristo hata kwa kusema kwako unawapenda hawatokusifu
 
mtoa mada inaonekana wewe ni mshirikina sana yani unaamini sana ushirikina.huyo mtu inawezekana alikugusa kwa mapenzi yake tu kwa watoto kama ulivyosema ulikua bado mdogo .sasa uvivu wako wa maisha unataka kusingizia uchawi,uliacha chuo kwa upumbavu wako wakati hujadisco na ulikua na GPA kubwa ila tamaa zako ukaamua kuingia mitaani elimu ukaona haina maana ,sasa umepigika unataka kulaumu watu wengine.hiyo familia yako ni yakimasikini kama familia nyingi za kiafrica wala hakuna uchawi hapo .pambana achana na imani za kijinga
Kwa upumbavu wake
 
Aisee kila kitu kina kanuni zaka ili kiweze kufanya kazi. Ili uchawi umfike mtu azurike kuna kanuni zake. Katika hiyo stori yako hizo kanuni hazipo. Hivyo kama umerogwa siyo katk tukio hilo. Angalia namna nyingine ya kutambua tatizo ulilo nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipokuwa form two , kuna jamaa zangu walikuja kunitembelea , baada ya kuondoka kesho yake mchana kweupe nikiwa bwenini nilisikia vitu vinanitekenya kichwani kama vindege ila havionekani . Kuanzia hiyo siku kumbukumbu zilipotea mpaka hata kusahau jina langu . Mpaka sasa ninaishi kiubishiubishi tu ! Wewe acha tu ! Dunia ina mambo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri uanze kwanza kubadili mtazamo wako..
Kuguswa na vidole na mtu wakati wa kushuka kwenye basi hakusababishi ukoo mzima msiwe na maendeleo..ingekuwa hivyo watu wanavyobanana na kugusana kwenye mwendokasi na daladala ingekuwa kuambukizana umasikini kwenda mbele.

Hivi ungeguswa hayo macho na mtu aliyevaa blauzi na sketi au shati na suruali ungeandika kwa kuzitaja pia hizo nguo? Au bado ungeona hilo tukio ni la kishirikina?

Uendelee tu na maombi na kupanga mikakati ya maendeleo bila kuonea donge wenzio walioendelea kwa juhudi zao
 
Bila kuacha hyo imani yakwamba ulilogwa na ukakubali kwamba matatzo uliyonayo wewe Ni yako mwenyewe hayajasababishwa na mtu yeyote yule iwe mchawi, raisi,wazazi, kaka ama Dada nk: hata Mungu hatokujibu maombi yako ila wewe ukiacha kuamini ivo utafunguka akili Ni namna gani unaweza kusolve matatzo yako ya kiuchumi,




Labda nikukumbushe wasomi wapo mkuu na hawana ajira so move on

Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom