Kuna tofauti gani kati ya Phd na Doctorate?

Ngazi ya mwisho kusomea ni PhD na hapo inakupa direct entry ya kuwa na position ya LECTURER, baada ya hapo kinachofata ni kupata promotion kutokana na paper utakazoandika, conferences ulizo attend na kupresent paper,book writing and reviews, consultancy work n.k. So, depending umeandika na kufanya hivyo vitu kwa kiwango gani ndipo utapata promotion kutoka LECTURER kuwa SENIOR LECTURER then ukiendelea na juhudi hizo unakuwa promoted to ASSOCIATE PROFESSOR and lastly to FULL PROFESSOR...si kazi ndogo na wakati huo lazima uwe mwalimu wa chuo kikuu..So ukiona mtu anaitwa proffessor..salute him/her!!!

eeh bana! Ajabu sijaona reviews na mapaper ya Prof. Majimarefu.
 
Dr ya Double Masters in Business Study ? ? ? Wewe ndo unanichanganya sasa! Usome double masters ya biashara upate u-dr? I mean phd? Mbado kuona, na ndicho nilichomjibu nadhani
Nadhani Speculator hana maana kuwa double Masters anapewa Phd ? Wanacho-share ni Title tu ya Dr au kwa maana nyingine panakuwepo na Dr ya Phd, Dr ya Medicine, na pia Dr ya Double Masters in Business Study ? ? ? Anauliza HILO LIPO KATIKA DUNIA HII KWA SASA ?
 
Umenikumbusha argument ya dr of medicine mmoja. Anasema Dr of medicine tu ndo stahiki kwa digrii ya kwanza. Wanaosomea utabibu wa meno ni dentists na sio drs, wa mifugo ni verterinarian na sio drs. Palikuwa parefu hapo.
Dr Kikwete.. Keshokutwa Prop Kikwete.. Kwa hakika hii inachanganya Na kuvunja moyo jamvi la usomi si Tanzania tu. wanaotunukiwa Dr za heshima Na Dr za kukokotoa elimu mbele ja jamii wote wanajiita Dr. Mchanganyo zaidi utakuta Mtu kasomea kiholahola medical institute akaibuka Na certificate au diploma ya mambo ya kiuguzi Basi akipangiwa kazi kwenye kijizahanati chetu nae timamwita Dr. Sasa wote hawa kwenye kikao cha send-off wanajikampein kama Ma Dr. Hii inachanganya sana labda mashahada Na mastashahada Haya yangepatiwa majina au vifupisho Mtu tukajua Yupi ni yupi.. Mtu unapita mtaa unakutana Na mabango ' Dr. Kifimboo toka Sumbawanga' Mara 'Dr. Uaccm toka Mwanza' Yaani kila Mtu Dr..Dr.. Huyunaye Dr.Lovepimbi ..Mara Prop Ndumilakuwili.. Inachanganya
 
Ngazi ya mwisho kusomea ni PhD na hapo inakupa direct entry ya kuwa na position ya LECTURER, baada ya hapo kinachofata ni kupata promotion kutokana na paper utakazoandika, conferences ulizo attend na kupresent paper,book writing and reviews, consultancy work n.k. So, depending umeandika na kufanya hivyo vitu kwa kiwango gani ndipo utapata promotion kutoka LECTURER kuwa SENIOR LECTURER then ukiendelea na juhudi hizo unakuwa promoted to ASSOCIATE PROFESSOR and lastly to FULL PROFESSOR...si kazi ndogo na wakati huo lazima uwe mwalimu wa chuo kikuu..So ukiona mtu anaitwa proffessor..salute him/her!!!

dah! Thanks mkuu,kumbe ndio maana maproffesa kibongo bongo ni wazee! Nahs humohumo kuna na kubaniana.
 
Mkuu kweli hapo kumpigia saluti profesa inahitajika,mana kwa mtazamo tu wa kawaida kupitia stage hizo zote baada ya masters inaonyesha itakucost zaidi ya miaka hata 20 mpaka uwe full proffesor
Kweli kazi
 
Umenikumbusha argument ya dr of medicine mmoja. Anasema Dr of medicine tu ndo stahiki kwa digrii ya kwanza. Wanaosomea utabibu wa meno ni dentists na sio drs, wa mifugo ni verterinarian na sio drs. Palikuwa parefu hapo.
Wa mifugo inategemea nchi na nchi, wale waingereza (UK) wanatumia Veterinary Surgeon (BVSc na BVM), kule kwa Trump wanatumia Dr (DVM-Doctor of Veterinary Medicine). Hapa Tanzania ingawapo tulianza na BVSc na baadae BVM tunatumia Dr (si unajua kiki yake). Hivyo hutegemea nchi na nchi.
Huko upande wa afya ni hivyo hivyo hata wa meno pia ni Drs (Doctor of Dental Surgery, Dr of Dental Medicine na mazaga zaga mengine) Huyo jamaa alijipendelea tu au hajui ukweli. Kuna MD (after the americans) na kuna MBBCh (Bachelor of Medicine and Surgery). Kwa hiyo kwa degree ya kwanza iko poa tu kinacho matter ni nchi yako inatumia nini.
 
Ngazi ya mwisho kusomea ni PhD na hapo inakupa direct entry ya kuwa na position ya LECTURER, baada ya hapo kinachofata ni kupata promotion kutokana na paper utakazoandika, conferences ulizo attend na kupresent paper,book writing and reviews, consultancy work n.k. So, depending umeandika na kufanya hivyo vitu kwa kiwango gani ndipo utapata promotion kutoka LECTURER kuwa SENIOR LECTURER then ukiendelea na juhudi hizo unakuwa promoted to ASSOCIATE PROFESSOR and lastly to FULL PROFESSOR...si kazi ndogo na wakati huo lazima uwe mwalimu wa chuo kikuu..So ukiona mtu anaitwa proffessor..salute him/her!!!
Ahaa kwahiyo professor ndo level ya mwisho. Lecture ndo mwanzo si ndio!!😶
 
Back
Top Bottom