Kuna tofauti gani kati ya Phd na Doctorate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tofauti gani kati ya Phd na Doctorate?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Viol, Apr 23, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wakuu msinicheke kuuliza si ujinga.
  Sielewi tofauti za hivo vitu,je ni level gani kati ya hizo ipo juu zaidi?
  Je inachukua mda gani kusomea doctorate,na je kuhusu Phd inakwaje?
   
 2. D

  Dingiswayo Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Mkuu, zote ni sawa, ila doctorate wamefupisha tu..PhD ni Doctor of Phylosophy...kwa hiyo doctorate imesimama kwa ajili ya hiyo doctor...under normal circumstances huwa ni miaka mitatu ina depend na chuo na kozi pia...nyingine mpaka minne au mitano..ila kwa ajili ya shughuli nzito na majukumu wengine huwachukua mpaka miaka kumi kuipata.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu........Je upatikanaje wa kuwa profesa inakwaje?
   
 4. D

  Dingiswayo Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Ngazi ya mwisho kusomea ni PhD na hapo inakupa direct entry ya kuwa na position ya LECTURER, baada ya hapo kinachofata ni kupata promotion kutokana na paper utakazoandika, conferences ulizo attend na kupresent paper,book writing and reviews, consultancy work n.k. So, depending umeandika na kufanya hivyo vitu kwa kiwango gani ndipo utapata promotion kutoka LECTURER kuwa SENIOR LECTURER then ukiendelea na juhudi hizo unakuwa promoted to ASSOCIATE PROFESSOR and lastly to FULL PROFESSOR...si kazi ndogo na wakati huo lazima uwe mwalimu wa chuo kikuu..So ukiona mtu anaitwa proffessor..salute him/her!!!
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu kweli hapo kumpigia saluti profesa inahitajika,mana kwa mtazamo tu wa kawaida kupitia stage hizo zote baada ya masters inaonyesha itakucost zaidi ya miaka hata 20 mpaka uwe full proffesor
   
 6. D

  Dingiswayo Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Yeah..ila hapo sasa kuna mambo kadhaa mwingine anaweza akaupata hata within 12 au 13 years toka alipopata masters au 9 years toka alipopata doctorate, kwani minimum duration ya mtu kuwa promoted ni 3 yrs hata kama uwe ume publish ma paper ya namna gani..so kama mtu si mtafutaji mzuri wa pesa na amekamia kuupata u prof anaweza ku make provided ni kichwa na ana time ya kutumia kufanya hizo academic work..wengi wanashindwa kwa ajili ya kuhangaika kutafuta pesa kwanza..wengi wanaishia kwenye u senior lecturer.
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hivi mimi naelewa tofauti au niaje, kwa ninavyofahamu PHD ni kifupisho cha Permanent Head Damage. Ufafanuzi please.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 8. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  duuh,kadakabile ,unatisha kwa maelezo aliyotoa dingiswayo na wengine ,ni ya kisomi na yanajitosheleza sasa kama huelewi utakuwa kichwa maji a.k.a kilaza complex
   
 9. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Pole kwa kuonyesha jinsi unavyofikiri! Keep it up!

   
 10. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Splendido, Gracias!

   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Thanks much mkuu umenielewesha vizuri
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  anajaribu kupotesha makusudi
   
 13. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Matatizo ya kusoma shule za kata hayo na ww umeambukizwa akiri za kata kweli ww ni kilaza
   
 14. S

  Speculator Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukurru sana kwa kutuelimisha naomba pia kuelewa hili, kumekuwa na matangazo mengi sasa ya title ya Dr sio ya Phd Ila baada ya kumaliza masters mbili maalumu kwa pamoja, mfano Double Masters Degreee,= Study double masters of management* with UniSA, Adelaide.* View our management and business degrees and study programs Na wakimaliza wanaitwa madocta(Dr) je wewe unalielewaje hili ?
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Hata usome masters saba huwezi kutunukiwa phd. Unaweza kusoma masters mbili kwa mpigo kuokoa muda, pesa na kufanikisha lengo kwa maana ya kuwa na wide knowledge. Hizo ni biashara tu baba. Phd ina heshima yake na mtiti wake sio wa kitoto.
   
 16. F

  Fofader JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kuna doctorate za namna mbalmbali k.m.
  Doctor of Philosophy (Phd)
  Doctor of Science (D.Sc.) n.k.
   
 17. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #17
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Dr Kikwete.. Keshokutwa Prop Kikwete.. Kwa hakika hii inachanganya Na kuvunja moyo jamvi la usomi si Tanzania tu. wanaotunukiwa Dr za heshima Na Dr za kukokotoa elimu mbele ja jamii wote wanajiita Dr. Mchanganyo zaidi utakuta Mtu kasomea kiholahola medical institute akaibuka Na certificate au diploma ya mambo ya kiuguzi Basi akipangiwa kazi kwenye kijizahanati chetu nae timamwita Dr. Sasa wote hawa kwenye kikao cha send-off wanajikampein kama Ma Dr. Hii inachanganya sana labda mashahada Na mastashahada Haya yangepatiwa majina au vifupisho Mtu tukajua Yupi ni yupi.. Mtu unapita mtaa unakutana Na mabango ' Dr. Kifimboo toka Sumbawanga' Mara 'Dr. Uaccm toka Mwanza' Yaani kila Mtu Dr..Dr.. Huyunaye Dr.Lovepimbi ..Mara Prop Ndumilakuwili.. Inachanganya
   
 18. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,955
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Kama mwisho ni PhD na Post Doctorate je? Kwanza professor ina maana mbili 1. ni mwalimu wa university, 2. ubora wa tafiti alizofanya.
   
 19. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #19
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Nadhani Speculator hana maana kuwa double Masters anapewa Phd ? Wanacho-share ni Title tu ya Dr au kwa maana nyingine panakuwepo na Dr ya Phd, Dr ya Medicine, na pia Dr ya Double Masters in Business Study ? ? ? Anauliza HILO LIPO KATIKA DUNIA HII KWA SASA ?
   
 20. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  shule ya kata hazina tatizo mkuu. Mbona unakariri vibaya bhana, try to do research uone kama kweli maana kama umekuwa updated naibu waziri wa elimu amelalamikiwa pale msalato kuna watoto form one hawajui kusoma je? Msalato ni shule ya kata?
   
Loading...