Kuna Tofauti Gani Kati ya CCM na Cash Money Record?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
CCM inaongozwa kama genge la wahuni na lengo lao kubwa ni deals za kuiba na kujinufaisha wao wenyewe na familia zao. Historia ya CCM inatuonyesha matukio makubwa kama Dowans, Richmond, wizi, Mikataba fake ya migodi na makampuni ya Watanzania. Sasa kuna tofauti gani kati ya CCM na makampuni ya entertainments kama Cashmoney? Aibu kubwa kwa uongozi wa nchi kufananishwa na vikosi vya wahuni...at least Cashmoney wanatengeneza pesa yao kwa Rap inayo haribu vijana duniani.

leaders_kiswahili.jpg


300.jpg
 
Back
Top Bottom