Kuna tatizo gani kwenye hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Ndugu wana jamvi,
Nimeiangalia hizi picha kwa makini nikaona kama kuna tatizo. Sina hakika kuwa it's just me au wengine nao wanaweza kuwa na mtazamo kama wangu. Angalia hizi picha chini uone kama kuna pungufu.
Karibu...

2.jpg

1.jpg

Babu aliye nyuma ya Pinda kazikodolea nyonyo.
 
Huyu mama kamgusisha mzungu nyonyo zake katika mkono mzungu amechemka
 
Mama anazionyesha hizo nyonyo kwa Mh. Pinda
Mama Tunu anaweza kuwa na bifu akiona dhoz pikchaz.
 
ladies first au?:angry:
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="if(typeof(jsCall)=='function'){jsCall();}else{setTimeout('jsCall()',500);}" id="jsProxy" type="hidden">
 
mhh...huyu mama maziwa yamepwaya namna hiyo hata hayavutii. Si ayafiche tu sasa....kha!
Who is she by the way?
 
Mawani ya maza(gugoz) haistahili,ushamba tu! Unless awe ana matatizo ya macho,labda makengeza,jicho 1 haliko sawa n.k
 
Body language in shaking hands,umeona pinda mkono wake amekuwa inferior to that white man, nkono wa pinda umejaa wote kwa huyo mzungu.
Picha ya pili pinda anaonyesha ukubwa wake,angalia misuli ya mikono kwenye picha ya kwanza na misuli kwenye picha ya pili.
 
Mawani ya maza(gugoz) haistahili,ushamba tu! Unless awe ana matatizo ya macho,labda makengeza,jicho 1 haliko sawa n.k

Huyu mama (Teddy Mapunda) sijawahi kumuona bila 'huge designer' sunglasses...I dont know if its a hobby or hiding something. And again, I think the jacket was a bit 'rude' (too open for pop'up boobs) for such occassion which involved church officials!
 
yAANI MATITI YENYEWE TAYARI NI KANDAMBILI! HALAFU USO KAFICHA NA MIWANI YA JUA MWEUSI! SIJUI NANI KAMDAGANYA KUWA KAPENDEZA HUKO ALIKOTOKEA!
 
Huyu mama (Teddy Mapunda) sijawahi kumuona bila 'huge designer' sunglasses...I dont know if its a hobby or hiding something. And again, I think the jacket was a bit 'rude' (too open for pop'up boobs) for such occassion which involved church officials!

Nilifikiri ni mimi peke yangu ndo nimeona hilo tatizo la huyo mama.
Sina hakika mme wake (kama anaye) au BF anakubaliana na huo uvaaji particularly unapokuwa kwenye public domain.
 
na hapa alikuwa kule KCMC wiki iliyopita kwenye ufunguzi wa jengo la kuwahudumia wale wanaokwenda loliondo na kusimama kwenye foleni ya wagonjwa wa ugonjwa mwingine.(kaka ingekuwa hivyo)
 
Back
Top Bottom