Sumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Zitto ilikuwaje??
Hii hoja ya Ukaskazini huenda ikawa ina mashiko ila Sumaye mbona yeye mbona ni wa Kaskazini, au sio mkaskazini enough?Tatizo hakuna mkaskazini aliyeandaliwa kumrithi Mbowe....... ndiposa wanafikiria ubishani ukizidi itabidi Halima Mdee avae viatu vya Mbowe!
huyu mtu ni noma aise yuko vizur ngoja aendlee kula ruzukuJohn Heche kapokea Kijiti cha Sumaye kama Sumaye alivyopokea cha Zitto kama Zitto alivyopokea cha Chacha Wangwe
Mie naunga mkono juhudi za Feeeman Mbowe
Mbowe mjanja sana , kimya cha Lissu kilimvuruga akajikuta kamtega awanie U Makamu mwenyekiti ili yeye abaki kwenye ‘ardhi yenye rutuba ‘
Vipi lowassa kuja tu akapewa tiket ya kugombea uraisSumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Afadhali basi angekuwa na hoja za ushawishi kama Tundu LissuSumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Sumaye analindwa na serikali........ ndio walichoogopa shemeji zake!Hii hoja ya Ukaskazini huenda ikawa ina mashiko ila Sumaye mbona yeye mbona ni wa Kaskazini, au sio mkaskazini enough?