Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

NI BORA KUJIFUNZA KILA KITU KULIKO KUJUA KILA KITU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuambia najua kila kitu.nataka nikukumbushe kuwa hats Mugabe alivyokua anafanya yake walikuwepo watu kama wewe wakimsupport.Siku alivyolazimishwa wazimbabwe walikesha wakifurahia kupumzika Mateso.unemployment rate ya Zimbabwe nenda tu south Africa ukaone walivyokimbia na Nazi wanazofanya ndo urudi kwangu.watu wanakuonyeni aina na siasa mnazofanya na jiwe wenu zitaathiri uchumi wa nchi hamtaki kukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tanzania tu tesla inapunguza 5% ya wafanyakazi general motors inapunguza matawi marekani na apple wanatarajia kuhama china ni mfano wa makampuni nje ya tanzania yanayofunga biashara, akiri zenu zinafikiria kuilaum tu serikali kama watoto mliozaliwa jana hamjui mambo yanavoenda kwa ziada 80% ya biashara mpya zinakufa ndani ya mwaka mmoja na 60% ya 20% iliobakia zinakufa ndani ya miaka mitatu. Hakuna jambo jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka kutuambia makampuni kufungwa USA basi inaweza kuwa sababu pia ya kufungwa AVIS tanzania,??
Sio ajabu kwa kampuni kufungwa lakini ni lazima tuangalia kwanini inafungwa Tanzania na kwingine operation zinaendelea kama kawaida..

Kampuni kufunga ofisi mahala huwa kuna sababu nyingi, Kwa USA vs CHINA inajulikana shida ni production cost za USA kuwa juu kuliko China, Je kwa Tanzania shida ni nini? maana tunasikia pia baadhi ya makampuni yanapunguza watu mfano Tbl tumeona wanahamishia mpaka Management Mauritus huku wakitangaza kupumzisha mamia, huoni kama kuna shida mahala maana wote wanatoa sababu moja..
 
Kuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na kuuza magari yake yote.

Je, wadau, habari hii ni ya kweli?

Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Najiuliza kwa sauti tu kama kutakuja wakati mgumu kimaendeleo na kijamii kwa WaTz kama ule baada ya vita na nduli Amin au mashirika ya umma yalivyobinafsishwa na kuwaacha wafanyakazi wengi bila ajira.
 
Waondoke tu Tanzania tunauwezo wa kujienda ukiachana hvyo vikampuni uchwara, walizoea kukwepa kodi
Avis unasema ni kikampuni uchwara!? Aisee hivi sisi watanzania tumelogwa? Hichi kiburi ya maskini jeuri kitatukoea puani. Nyerere alikuwa maskini jeuri ndiyo manaa mpaka leo tuko maskini, alikuwa maskini jeuri watu wake walikufa njaa na kuvaa nguo za viraka, walikufa njaa mpaka ikabidi mmarekani atulishe mahindi ya nguruwe! Tuache jeuri ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waondoke tu Tanzania tunauwezo wa kujienda ukiachana hvyo vikampuni uchwara, walizoea kukwepa kodi
Ndiooooo..... nchi yetu ni tajiri waondoke na magari yao na ikitokea shida ya usafiri rais anaweza kutuma magari ya jeshi yabebe raia na mizigo nchi nzima hii ndio awamu ya tano tunatekeleza, na rais ameshasema litakaloshindikana awamu hii halitafanikiwa milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na hivyo kuuza magari yake yote.

Je, wadau, habari hii ni ya kweli?

Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Natafuta bia Serengeti au Tusker, zawadi nono.
 
Sio tanzania tu tesla inapunguza 5% ya wafanyakazi general motors inapunguza matawi marekani na apple wanatarajia kuhama china ni mfano wa makampuni nje ya tanzania yanayofunga biashara, akiri zenu zinafikiria kuilaum tu serikali kama watoto mliozaliwa jana hamjui mambo yanavoenda kwa ziada 80% ya biashara mpya zinakufa ndani ya mwaka mmoja na 60% ya 20% iliobakia zinakufa ndani ya miaka mitatu. Hakuna jambo jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
General motors wapo US ukipunguzwa unaendelea kulipwa unemployment benefit mpaka unapopata kazi, huwezi kulinganisha US na bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tangazo linalosamba mitandaoni likionyesha orodha ya magari ya kampuni ya Avis yakiuzwa baada ya kampuni hiyo ya kukodisha magari mbalimbali kudaiwa kufunga biashara zake kama tangazo hilo linavyosema na hivyo kuuza magari yake yote.

Je, wadau, habari hii ni ya kweli?

Kama ni ya kweli, huu ndio muendelezo wa biashara kufungwa hapa nchini?
Wakitoka wazawa wanapata fursa
 
Avis unasema ni kikampuni uchwara!? Aisee hivi sisi watanzania tumelogwa? Hichi kiburi ya maskini jeuri kitatukoea puani. Nyerere alikuwa maskini jeuri ndiyo manaa mpaka leo tuko maskini, alikuwa maskini jeuri watu wake walikufa njaa na kuvaa nguo za viraka, walikufa njaa mpaka ikabidi mmarekani atulishe mahindi ya nguruwe! Tuache jeuri ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ACACIA wameondoka who is AVIS? Na bado nchi inasonga mbele.. Mtu umeshindwa biashara unaondoka, hawa ndiyo walio zoea vya kunyonga
 
Back
Top Bottom