gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,046
Akili zenu wanaccm ni za ajabu sana, wewe unaambiwa wanauza magari kwa sababu wanafunga biashara halafu wewe umeng'ang'ana kukumbatia ujinga wa kushupaza shingo!!Ok, manake nakumbuka tumeshanunua magari kwao kama mara 2 na mara nyingi naona wanauza magari yao yaliyokwisha tumika