Kuna 'Sober House' za punyeto?

Jamani kama hiyo sober house ya *SELFIE* ipo naomba na mimi mnifahamishe ilipo, I'm addicted
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushaambiwa ni kitendo cha aibu na siri unasema tena sijui muonane muongee mara mpigiane simuu nani atakubali afanye haya mambo na mtu asomjuaa
 
vipi mkuu ebu tueleze miaka yote io kumi hukupata madhara ya nguvu za kiume
 
jose
je at ur first sex hukupata shida yoyote kusimamisha yaani nguvu kupungua
pia wasaidie wenzako ulitumia mbinu gani kuacha na kuimarisha nguvu za mme
 
Kuna kujichua kw aina nyingi sana,sio tu kwa bafuni,kuna kujichua kwa mtu kulala kifudifudi na anakata mauno kana kwamba anamgeng'enda mtu kumbe anagusiaha uume na sehemu ya shuka baada ya kujirdhisha anaacha na hii haiihitaji hata kwenda bafun..tuliwahi kumkuta jamaa yetu amafanya haya bwenin..nikaona hili.

Lakin nyingine ndio hivyo ya kutumia mkono ambayo ndio so common..zoezi hili ni uchafu lakini zaidi unailainisha na kisha kuidhoofisha mishipa hata kuufanya uume usiwe lijali ...na ikifika miaka 20 unaweza kupelekea ugumba kwa sababu ya importation
 
kwa mtu asiyejua hawezi elewa hii kitu, kuna wakati mizuka ikija unahisi pumzi inakata, unaweza chomoka hata church unaenda toilet unakitupa kimoja unarudi kwenye ibada
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

We jamaa ....
 
nitakuandika barua,ila nikishindwa kuvumilia nitatengua
 
ila mbona jina lako linaleta mushkeli
 
nitakuandika barua,ila nikishindwa kuvumilia nitatengua
Kaka hii issue siyo ya kitoto, wanaosema wameacha naona kama wapo likizo tu.....unaweza kaa miaka 3 bila kujilipua, ila siku ukianza lazima ufidie siku ulizopitiliza.
 
Kaka hii issue siyo ya kitoto, wanaosema wameacha naona kama wapo likizo tu.....unaweza kaa miaka 3 bila kujilipua, ila siku ukianza lazima ufidie siku ulizopitiliza.
sasa nina wiki moja lakini naona mulemuleeee
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hio ya michepuko ndo dawa kamili zingine mbwembwe tu
 
maana tangu nifundishwe na mwalimu wa sayansi std 7 mpaka leo sijaacha.popote ulipo ticha mungu anakuona.

Kumbe hilo nalo ni somo kwenye mitaala ya shule za msingi hapa Tanzania?! au umesomea Marekani?
 
Okokokeni na mtubu kwa Mungu kwa huo uovu mtaacha hiyo tabia,kuna wakati unaweza kuhisi ni tabia ya mtu lakini sio kweli mara nyingi inakuwa ni mapepo ndio yana kupelekea kufanya hiyo kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…