Kuna 'Sober House' za punyeto?

Kuna 'Sober House' za punyeto?

Mkuu naona umepata kisingizio cha kujitetea badala ya kutafuta suluhu ya tatizo wewe unatafuta nani wa kumlaumu. Watanzania tuna shida sana yaani khaaa
Mimi kuona tu hiyo avatar yako nimeenda kujilipua kimoja... Dah wee acha tu
 
Kata vidole gumba tuone kamautapiga nyeto .... Sipendagi ujinga mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
me leo nimejilipua asee daa bado cku nne ningemaliza mwezi
Dah pole saaana mkuu jitahid yan jikaze usipige tena
....jiweke bize ...km huna kazi tafuta hata marafiki wa kukaa nao ... Kiufup jiepushe na mazingira ya kukaa peke ako muda mrefu
 
kwa mtu asiyejua hawezi elewa hii kitu, kuna wakati mizuka ikija unahisi pumzi inakata, unaweza chomoka hata church unaenda toilet unakitupa kimoja unarudi kwenye ibada
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Nani kakwambia walokole hawapigi punyeto?
Hii kitu ni siri kubwa hata usietegemea anapiga na siyo kwa wanaume tu bali pia hata kwa wanawake nao wamo katika lindi hili. Kuna wakati ilisambaa clip ya waziri wa nchi fulani akijilipua na kunaswa na cctv bila yeye kujua na kutumbuliwa na mkuu wake wakaya.
 
[emoji2] d.r.c
 
Back
Top Bottom