and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Genta alikua bize kuripoti 'kifo feki' cha KagameHuu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii
Genta alikua bize kuripoti 'kifo feki' cha KagameHuu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii
Niliripoti au nilikuwa nami nauliza ili kupata Ufafanuzi? Kwanini nyie mnakuwa na CHUKI na WIVU wa Kipumbavu mno na Mimi hapa JamiiForums?Genta alikua bize kuripoti 'kifo feki' cha Kagame
Mr Twaha Bizirimana, Raia wa Rwanda uishie KAWE Ukwamani!Niliripoti au nilikuwa nami nauliza ili kupata Ufafanuzi? Kwanini nyie mnakuwa na CHUKI na WIVU wa Kipumbavu mno na Mimi hapa JamiiForums?
Nimeshawahi KUWALALA au KUWALALA Mama zenu na KUWAACHENI hivyo mna HASIRA na BIFU nami? Ule UZI niliuanzisha Kichwa cha Habari kikiwa NAULIZA za Moderators kwa wanavyojua Wao wakaubadilisha na hadi kuupa HADHI ya TETESI na cha KUSHANGAZA Mimi ndiyo nao naonekana sasa kuwa nimeanzisha UZI wa kuleta TAHARUKI na WAPUMBAVU kama Wewe mnaamini.
AsanteHesabu hazidanganyi.
Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.
•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake.
Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
🤣🤣Utumbo..... Ongezea ndizi
Aliyeketi siti zipi alikuwa na uhakika wa kutoboa kwenye hii ajali? Tu-assume wote walifunga mikanda.View attachment 3375593
UNAKOKAZWAGWA NAE 24/7Mr Twaha Bizirimana, Raia wa Rwanda uishie KAWE Ukwamani!
Daah hyo ya wapi jamani?Aliyeketi siti zipi alikuwa na uhakika wa kutoboa kwenye hii ajali? Tu-assume wote walifunga mikanda.View attachment 3375593
Yule jamaa amekuzwa kwa kula ukoko na viporo, ana sonona kichwaniHuu uzi nilifikiri kaandika Genta maana ndio huwa anafikra za namna hii
Kwa sababu wewe ni mnafikiNiliripoti au nilikuwa nami nauliza ili kupata Ufafanuzi? Kwanini nyie mnakuwa na CHUKI na WIVU wa Kipumbavu mno na Mimi hapa JamiiForums?
Nimeshawahi KUWALALA au KUWALALA Mama zenu na KUWAACHENI hivyo mna HASIRA na BIFU nami? Ule UZI niliuanzisha Kichwa cha Habari kikiwa NAULIZA za Moderators kwa wanavyojua Wao wakaubadilisha na hadi kuupa HADHI ya TETESI na cha KUSHANGAZA Mimi ndiyo nao naonekana sasa kuwa nimeanzisha UZI wa kuleta TAHARUKI na WAPUMBAVU kama Wewe mnaamini.
PUMBAVUKwa sababu wewe ni mnafiki
Ajali haina kingaHesabu hazidanganyi.
Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.
•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake.
Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.
Hii ilitokea 6th Sept 2024 eneo linaitwa Kawetele,Chunya,Mbeya.Daah hyo ya wapi jamani?
Mr Twaha Bizirimana, Raia wa Rwanda uishie KAWE Ukwamani!
Mkigongwa kwa nyuma je maana napo shida ipoUtafiti unathibitisha kuwa safu ya pili kutoka mwisho, SITI iliyopo kwenye corridor sio dirishani, ndiyo salama kabisa!
Inategemea aina ya ajali, gari likigongwa kwa nyuma jeback bencher kushoto hutawahi patwa na matatizo kuanzia darasani ukaguzi wa notes mpaka kwenye ndege