Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
Tutaishia kulalamika tu without taking an action Kawaida yetu sisi wabongo
kwa matanuzi haya kwa nini deni lisiongezeka? rais anaenda kukutana na ex kocha ili iweje
Dhahabu, almasi, tanzanite, kodi mara kumi kumi za TRA, gesi asilia, mapato ya zanzibar, kwanini tushindwe kujiendekeza wenyewe? Kwanini tuombe ombe tu? Mi nashangaa na sielewi why we africans in 21st century still tunawategemea akina USA na wenzake...
Ndg wana jf,kwa mujibu wa deni la taifa ambalo kimahesabu kila mtanzania anatakiwa kulipa tsh million 350 kwangu mm binafsi ambaye ni baba wa watoto 3 na mke 1 natakiwa kulipa tsh billion 1,750,000,000 kama deni la familia yangu yote.House girl wangu atajilipia mwenyewe bcoz namlipa mshahara na wala sijui yeye alivyokopeshwa hiyo mipesa alifanyia nini.
Binafsi hata mm sijui pesa hiyo nilifanyia nini.Maana sina kumbukumbu kabisa ya matumizi ya japo tsh 10,000 ktk hizo m 350.
Ebu wewe mtanzania mwenzangu niambie wewe pesa hizo ulizifanyia nn?na kama ukumbuki inamaana hukukopeshwa,sasa kama hukukopeshwa why udaiwe?na jee pesa hii iko wapi?na inafanya nini?
Naomba kuwakilisha!
Mkuu mbona m 200 ni nyingi kupewa kilahio pesa ngekopwa kila mtu apewe angalau hata milioni mia mbili mfukoni basi tungewaelewa ili hivi hivi lazima tumtoe mtu kamasi
Ndg wana jf,kwa mujibu wa deni la taifa ambalo kimahesabu kila mtanzania anatakiwa kulipa tsh million 350 kwangu mm binafsi ambaye ni baba wa watoto 3 na mke 1 natakiwa kulipa tsh billion 1,750,000,000 kama deni la familia yangu yote.House girl wangu atajilipia mwenyewe bcoz namlipa mshahara na wala sijui yeye alivyokopeshwa hiyo mipesa alifanyia nini.
Binafsi hata mm sijui pesa hiyo nilifanyia nini.Maana sina kumbukumbu kabisa ya matumizi ya japo tsh 10,000 ktk hizo m 350.
Ebu wewe mtanzania mwenzangu niambie wewe pesa hizo ulizifanyia nn?na kama ukumbuki inamaana hukukopeshwa,sasa kama hukukopeshwa why udaiwe?na jee pesa hii iko wapi?na inafanya nini?
Naomba kuwakilisha!
Japo maoni yako ni sahihi lakini hesabu zimekugonga. Deni la taifa ni trilioni 14.4 sawa na bilioni 14,400 au milioni 14,400,000. Ukigawanya milioni 14,400,000 kwa idadi ya Watanzania ambao wanakadiriwa kufikia milioni 40 unapata laki tatu sitini elfu (360, 000/=). Aliyetoa tarakimu hiyo alikuwa na nia nzuri ya kutushtua lakini alikosea kufanya hesabu na kila mmoja anamnukuu bila kuhakiki.
Ukitaka kujua kuwa alikosea ni kuwa bajeti ya taifa mwaka huu wa fedha ni trilioni zinazokaribia 11 hivi. Nayo ni sehemu tu ya pato la taifa. Kwa hiyo kama ukigawanya kwa Watanzania milioni arobaini ungepata hizo milioni, inamaana pato la Mtanzania kwa mwaka lingekuwa juu kwelikweli. Umasikini usingelikuwa kiwango kilichopo. Ni vizuri tukawa sahihi upande wetu ili yale tunayoyaeleza ya ukweli yapate kuamnika.

halafu ukute wewe ni mwalimu wa hesabu huko kwenu. Wewe ume round of
watanzania 40 mil yeye karound of 14 trilion. Hivi huoni kuwa hakuna tofauti ya 350 na 360 ?