Kuna Siri gani ya Lonely man na Gay Kufanya mambo makubwa.

Mkuu una uhakika walikuwa lonely?? Au waliishi wakiwa alone kwa maana ya kutokujihusisha na mahusiano???
Boss Nina uhakika they were lonely men, labda kidogo Hoover kati ya hao nilio wa mention, Edgar aliwah kuwa na scandal ya kudate na his secretary but was not confirmed it was just a rumors too, All of these men i mentioned, Hawakuwa na Hawana watoto wala official wake for their entire of their life.
 
These are both choices you make in life. Why not try being lonely and gay? Labda na wewe utagundua hiyo "siri" na kuishia "kufanya mambo makubwa" while sucking di.ck and being fucked in the a.ss.
Boss relax, Why you are so rude and harsh? We need your thesis and not to insult public as u did.
 
Many of the genius men are sponsored by Lucifer himself, they work for him,

wapo busy kujenga hoja za kupotosha ulimwengu ili mkuu wao Lucifer atawale kirahisi, wanatumia sayansi na falsafa ili kuleta mageuzi duniani ambayo ni hasi au chanya.
they are luciferians
Lakini mkuu kupitia Gunduzi zao Maisha ulimwenguni yanakuwa simplified.
 
Kuna watu wana focus na maisha ya ugunduzi au vinginevyo kiasi cha kuona mke na watoto watavhukua mudacwake mwingi.

Kunacwaziri mkuu wa Uingereza aliitwa Edward Heath hakuwahi kuoa na nyumba yakebimekuwa miseum watu wanakwenda kuangalia msisha aliyoishi
Exactly, na siku hizi jamii yetu kila inapoona mtu hajihusishi na mapenzi sana au kaishi muda mrefu bila kuoa wanaanza kuassume ni homosexual and things of the kind., kwenye maisha kuna watu wana ndoto, plans na priorities zao na lazima wazifikie ndio maana they invest all their hardwork and time katika vitu wanavyotaka kuachieve na hawakubali kitu au mtu yoyote kuharibu plans zao., most of the things written hapo are just assumptions kuencourage the LGBT community kua they can do great things too just like normal people do
 
Many of the genius men are sponsored by Lucifer himself, they work for him,

wapo busy kujenga hoja za kupotosha ulimwengu ili mkuu wao Lucifer atawale kirahisi, wanatumia sayansi na falsafa ili kuleta mageuzi duniani ambayo ni hasi au chanya.
they are luciferians
Hayo umesema wewe
 
Kama iliwashinda kuishi na mwanamke na kujifarij basi ujuzi wa kuishi na mwanamke ni sawa na kutuma chombo Mars hivyo magenius tupo wengi.
 
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire Wafadhili wake JP Morgan wanagomea kum fund aendelee na Project hii ila mpaka leo haijawah Implemented kwa case ya high voltage nafikiri haina ufanisi mkubwa kwa transmission,

James N Mattis Secretary of Department of Defense Amekuwa akiwaza Majeshi tangu utotoni mpaka sasa age imevuka pasipo kuwa na tamaa na kuoa mattis ni mtabe wa mishe za Military kweli kweli mpaka anaitwa The madd Dogg

Da vinci huyu ata nisimueleze mana anajulikana kwa kuwa Polymath he was not only talented but gifted too Amechora Picha ya Shoga mwenzie Ceaser na mpaka sasa picha hio inatumika mno dunia kumwakilisha nabii fulani..

Makao makuu ya FBI yanaitwa J Hoover Building yamepewa jina hilo kwa vile tu Mkuu Edgar Hoover ndio DG aliekaa muda mrefu FBI,

Leo tunasoma mambo ya Motion, calculus na Gravitational force hapa namzungumzia Newton, Kuna Public figure wengi sana ambao absolutely they changed our World Swali langu kwanini most of these smart Men ni either Lonely man yani hawakuwa kuoa au Walikuwa Homosexual yani washirika wa Mapenzi ya jinsia moja hao niliowataja na machache waliofanya ni miongoni mwa watu walio ktk kundi hili , Hawa watu wamechangia mambo makubwa mno ktk field zote kuanzia Mitindo, Dini, science,sanaa na Biashara.
Je mahusiano ktk ya watu wa separate gender hupunguza uwezo wa akili, Hapa sijazungumzia Kanisa kama Catholic ambalo lina impact kubwa na pengine imani nyingi zimetokea RC nao waliofikisha apo kuanzia wakina Ignatius they are all loney men.
Hii mada ukiitafsiri kwa kiingereza watu wataielewa vizuri zaidi kuliko ilvyo sasa hivi. Inaonyesha kama umeitafsiri kutoka kwenye kiingereza ila ukashindwa kuipatia vizuri kiswahili chake na hivyo inaleta shida kidogo kuielewa vizuri kama ambavyo ulikuwa umekusudia watu waielewe
 
Kwa hiyo na wewe no member was Lucifer maana unavyovitumia no zao la ugunduz was hao wenye akili, hao watu waliumbwa na Mungu na kupewa akili ili kusaidia dunia
Watu walipewa kipaji na Mungu, ila shetani anaweza kuwatumia watu wenye elimu kupotosha watu pia.
 
Hii mada ukiitafsiri kwa kiingereza watu wataielewa vizuri zaidi kuliko ilvyo sasa hivi. Inaonyesha kama umeitafsiri kutoka kwenye kiingereza ila ukashindwa kuipatia vizuri kiswahili chake na hivyo inaleta shida kidogo kuielewa vizuri kama ambavyo ulikuwa umekusudia watu waielewe
Mkuu sijitoa popote hio nimefikiria tu Kutokana na kufatilia wagunduzi wengi sio Social, Political au science wako ivo
 
Watu wengi wenye akili kubwa wanaofanya mambo makubwa creative genius hawa...huwa ni wagonjwa wa Autism inayowafanya ubongo wao ufikirie kitu kimoja tu kwa kina..kama ni mathematics basi mathematics tu...kama ni art ishu basi in art ishu tu. na kublock zile emotional feeling za kusocialize na jamii ndio maana wao wako kinyume na sisi..wao kinachowapa mshindo (orgasm) ni ile "Eureka moment " au Wow moment baada ya kugundua kitu na sio utamu wa mwajuma ndala ndefu.. Nop!

Unajua kwamba Albert Einstein genius wa mathematics, astrophysics of all time...inaaminika itaichukua mamilion ya miaka kumpata wa Kariba yake ..huyu bwana wakati anakufa kwenye kitanda kuna Dr aliuiba ubongo wake na akaufanyia tafiti hadi akagundua jamaa ubongo wake ulikuwa tofauti Sana na binadamu wengine maana ulikuwa na gap kwenye emotional and cognitive part of the brain na kutoa space kubwa Kwenye sehemu nyingine ya ubongo ndio maana akawa genius kwenye field yake ya sayansi.

Ndio maana hata shuleni kuna wale maprofesa magenius wale ni kawaida kukuta suruali imeruka ruksi moja then mwenyewe unakuta hana wasiwasi karelax tu, sometimes amechomekea shati kwenye bukta ya ndani na hana wasiwasi. They don't fit in our social world sababu wana Dunia yao inayowafurahisha zaidi kugundua kitu kipya na sio kupata demu mpya mkali maana emotional feeling ya orgam via sex iko blocked. Kisaikolojia wao ni introvert na sio extrovert kama sisi akilia kawaida tulio wengi.

Creative genius wengi hawakuoa wala kuzaa wala kuwa na pro social behavior nzuri.

Pitia hapa kufahamu zaidi tabia za magenius Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli
 
Many of the genius men are sponsored by Lucifer himself, they work for him,

wapo busy kujenga hoja za kupotosha ulimwengu ili mkuu wao Lucifer atawale kirahisi, wanatumia sayansi na falsafa ili kuleta mageuzi duniani ambayo ni hasi au chanya.
they are luciferians
I agree with u bt on other way **** watu Mungu anawatumia kwa lengo fulani on earth si wote ni wa lucifer
 
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire Wafadhili wake JP Morgan wanagomea kum fund aendelee na Project hii ila mpaka leo haijawah Implemented kwa case ya high voltage nafikiri haina ufanisi mkubwa kwa transmission,

James N Mattis Secretary of Department of Defense Amekuwa akiwaza Majeshi tangu utotoni mpaka sasa age imevuka pasipo kuwa na tamaa na kuoa mattis ni mtabe wa mishe za Military kweli kweli mpaka anaitwa The madd Dogg

Da vinci huyu ata nisimueleze mana anajulikana kwa kuwa Polymath he was not only talented but gifted too Amechora Picha ya Shoga mwenzie Ceaser na mpaka sasa picha hio inatumika mno dunia kumwakilisha nabii fulani..

Makao makuu ya FBI yanaitwa J Hoover Building yamepewa jina hilo kwa vile tu Mkuu Edgar Hoover ndio DG aliekaa muda mrefu FBI,

Leo tunasoma mambo ya Motion, calculus na Gravitational force hapa namzungumzia Newton, Kuna Public figure wengi sana ambao absolutely they changed our World Swali langu kwanini most of these smart Men ni either Lonely man yani hawakuwa kuoa au Walikuwa Homosexual yani washirika wa Mapenzi ya jinsia moja hao niliowataja na machache waliofanya ni miongoni mwa watu walio ktk kundi hili , Hawa watu wamechangia mambo makubwa mno ktk field zote kuanzia Mitindo, Dini, science,sanaa na Biashara.
Je mahusiano ktk ya watu wa separate gender hupunguza uwezo wa akili, Hapa sijazungumzia Kanisa kama Catholic ambalo lina impact kubwa na pengine imani nyingi zimetokea RC nao waliofikisha apo kuanzia wakina Ignatius they are all loney men.
Sio lonely, hawakuwa na muda wa kuwaza familia, walikua wako fulltime na mambo yao wanayofanya, ila mbona watu km Pierre Curie na Marie Curie walikua wanandoa na walikua wanafanya uvumbuzi wa kitu kimoja pamoja, radioactivity theories & experiments, ila ndo nadra kutokea, family inachukua part kubwa ya maisha ya binadam so huwez kumix family na intellectual faculties lazima ufeli upande mmoja, ila kuwa gay or straight ni other factors, personal feelings hizo
 
Ni sahihi kabisa ya kwamba Mungu kampa bin Adam akili ya kujitambua na kutawala dunia,

Lakini maarifa mengine yamefunuliwa na shetwani ili kurahisisha kueneza tabia ambazo zinamkwaza Mungu, mfano Simu hasa smart phones zina uwezo mkubwa wa kusambaza tamaduni na tabia kupitia internet hivyo mtu aliyepo Tanzania aweza kukopi tabia na mienendo iliyoko Uswis au kwingineko, ikiwa tabia na mienendo hiyo si myema basi mtu huyu atakuwa kaingia kwa ibilisi aidha kwa kujua au kutokujua.
mfano ushoga, usagaji ponografia n.k.
We jamaa, unapingana na maendeleo, kusingekuwa na huduma bora ya afya, elimu ya juu, barabara, usafiri mzuri, kushindwa kwa tamaduni mbaya km kusingekuwa na simu, au njia ya kuwasiliana baina ya mabara mbalimbali, tuchukue mazuri na mabaya tuyaache, maana shetani hajaanzisha kampeni ya kuzuia ukeketaji, au kuzuia mauaji ya albino, au kuleta elimu ya juu ya afya na uinjinia, mabaya tunaiga wenyewe so tunatakiwa wenyewe tuyapinge
 
Back
Top Bottom