Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,396
Utamu wa mwajuma ndala ndefuWatu wengi wenye akili kubwa wanaofanya mambo makubwa creative genius hawa...huwa ni wagonjwa wa Autism inayowafanya ubongo wao ufikirie kitu kimoja tu kwa kina..kama ni mathematics basi mathematics tu...kama ni art ishu basi in art ishu tu. na kublock zile emotional feeling za kusocialize na jamii ndio maana wao wako kinyume na sisi..wao kinachowapa mshindo (orgasm) ni ile "Eureka moment " au Wow moment baada ya kugundua kitu na sio utamu wa mwajuma ndala ndefu.. Nop!
Unajua kwamba baada ya Albert Einstein genius wa mathematics, astrophysics of all time...inaaminika itaichukua mamilion ya miaka kumpata wa Kariba yake ..huyu bwana wakati anakufa kwenye kitanda kuna Dr aliuba ubongo wake na akaufanyia tafiti hadi akagundua jamaa ubongo wake ilikuwa tofauti Sana na binadamu wengine maana ulikuwa na gap Kwenye sana kwenye emotional and cognitive part of the brain na kutoa space kubwa Kwenye sehemu nyingine ndio maana akawa genius kwenye field yake ya sayansi.
Ndio maana hata shuleni kuna wale maprofesa magenius wale ni kawaida kukuta suruali imeruka ruksi moja then mwenyewe unakuta hana wasiwasi karelax tu, sometimes amechomekea dhati kwenye bukta ya ndani na hana wasiwasi. They don't fight in our social world sababu wana Dunia yao inayowafurahisha zaidi wakigundua kitu kipya na sio kupata demu mpya mkali maana emotional feeling ya orgam via sex iko blocked. Kisaikolojia wao ni introvert na sio extrovert kama sisi akilia kawaida tulio wengi.
Creative genius wengi hawakuoa wala kuzaa wala kuwa na pro social behavior.
Pitia hapa kufahamu zaidi tabia za magenius Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli