Hatari!kakutana na mtoto wa mjini kapima maji vibayaDharau ni mbaya sana mkuu hasa kwa mtu ambae haumjui, mimi nina watu nawalipa mshahara tena kuliko hta yeye, halafu ananiita hanithi! Na hela nimempelekea ili tufanye biashara! Nilitaka kuua na angejaribu kuikoki bastola ningemuwai ili nikafungwe vzri
Sent using Jamii Forums mobile app


Ukiitoa shutuma nzito namnla hiyo bila kuweka chembe ya ushahidi ni pengine huelewi maana ya utu ni nini.Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo yepi?Mimi nipo mwaka wa 4 huu ktk kampuni lakini sijawaona, watu kila siku wanapata matatizo wapo wapo wapo tuu
Kiufupi ni waoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu kutokuwa na utu inamaanisha nini?Mbali na kusubir vyama vitutee ukweli ni kwamba hawa jamaa hawanaga utu kabisa yaan wanachojari wao ni kazi zao tu ziende bila kuzingatia haki zako za msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahindi wa. Senge tu. We mwenyewe umetoa maneno ya kashfa hapo juu. Mkuu nduwa ko.HIZI CHUKI MMEZITOA WAPI?
Kwa kazi ipi?Huwezi kuendelea kama unafanya kazi kwa muhindi..
Yeye atakupa mshahara ambao utatosha kwa matumizi ya kula tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa mnawalaumu Wahindi eti hawana utu wewe utu wako uko wapi hapo?Wahindi wa. Senge tu. We mwenyewe umetoa maneno ya kashfa hapo juu. Mkuu nduwa ko.
Sent using my Nokia Torch
Kwanini usifanye kazi kwenye makampuni ya serikali ?Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahindi japo wameshikiria uchumi wana roho mbaya sana nashangaa wasomi huwa hawafanyi research maeneo kama Haya hii mijitu inatajirika kwa kutumia lenience ama Kama si hivyo ni ujinga wa viongozi. Kwa wahindi wasiowajua watatoa povu ila ndo ukweli mchunguNashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo yepi?
Kuna njia tatu tofauti kama hukubaliani na any existing system.Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama muda wa kutoka ni saa 11 ina maana ulitoka nusu saa kabla ya muda.Hiyo hela uliyokatwa ndogo Mimi ningekukata mshahara mzima sababu chukulia kiwanda kinazalisha coca-cola wewe umezima mtambo nusu saa ili uwahi kuondoka.Unajua ni makreti mangapi ya soda yameshindwa kuzalishwa kwa hiyo nusu saa uliyozima mtambo? Huyo mhindi ana huruma sana kwako.Ingekuwa Mimi mswahili mwenzio ungenikoma mbona huyo mhindi ungemwona malaika.Matatizo ni mengi siwezi kuorodhesha yote hapa, mfano mwaka juzi niliwahi kukatwa laki 2 katika mshahara wangu kisa nimetoka kazini saa 10 unusu jioni,
Mtu tuu kapiga simu kwa chief accountant kata mshahara wa fulani wakalima, nilisimama kidete wanipe fedha yangu na niliipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo wachawi wakuuWahindi hawarogeki, na roho zao mbaya tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
NB:-
Hela ya wizzi sio hela
Hahahah na kwelii..Huwezi kuendelea kama unafanya kazi kwa muhindi..
Yeye atakupa mshahara ambao utatosha kwa matumizi ya kula tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda zako mna roho mbaya sana kwa watu weusi nyie hakuna Nazi mnayofanya kazi kulipana mishahara mikubwa tuWabongo na nyie muache chuki kwa Wahindi vinginevyo mtaendelea kurukishwa kichura chura.
Waafrika mna mambo ya hovyo sana hata wahindi wakirudi zao Bharat nyie mtaendelea kuteseka na kutesana.
Waafrika hamjui mnachokitaka na kwa upande wangu watu weusi ni wabaya na wajinga kuliko rangi zote.(sio wote)
Nimekulia Tanzania so naongea kitu ninachokijua 100%
Live long Tanzania
Live long Bharat.
Mi nilijiondoa kwenye hivyo vyama kitambo sana, 12,500/= per month sikuona ilichofanya zaidi ukipata tatizo kazini ukiwaita hawajiHicho vyama kazi yao ni kukusanya michango tuu kila mwisho wa mwezi, ukipata tatizo unapambana kimpango wako,
Tena kwa hizi kampuni zetu hata wale uliowakuta yaan senior tatizo likikufika nao wanakausha kimya hivyo unapambana peke yako
Sent using Jamii Forums mobile app
