Kuna siri gani kwa wahindi

Kuna siri gani kwa wahindi

Pamoja na roho mbaya ambazo mnazo ila mkiletewa polisi jeuri yote kisha vipi mkuu umapaniki upo India kwenye ile ibada yenu ya uchi kwenye maji ya Mavi.
Aha ha sijapaniki madame najaribu tu kukuonyesha jinsi watu weusi msivyojitambua.
Nipo bongo hapa bongo na hizo ibada sifanyi cause am a christian.
Bharat yedu.
 
Mbali na kusubir vyama vitutee ukweli ni kwamba hawa jamaa hawanaga utu kabisa yaan wanachojari wao ni kazi zao tu ziende bila kuzingatia haki zako za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee umekuja kutafuta kazi au kutafuta utu ???????
Kama utu nenda kwenye nyumba za ibada ???
Fanyeni kazi..... Upate kipato Cha halali !!!
 
Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliomba kazi kwa unyenyekevu and then walalama...
 
We jinga tulia acheni kujiona watofauti au superior na hiyo Bharat yenu kwendeni kwenuu mkiwa bongo behave kutokana na jamii ya bongo inavyoishi
Classes zipo Kila mahali ilah bongo maskini na tajiri tunaheshimiana huo ubharat wenu peleka India
Mazafanta
Alaf nawatafuta Sana Dada zenu lazima nije kutembezea malungu

Umesahau kuwa babu zenu walikuwa wanaabudu miti na mapango?
Hadi leo wanaabudu mizimu.
Bharat yedu.
 
We jinga tulia acheni kujiona watofauti au superior na hiyo Bharat yenu kwendeni kwenuu mkiwa bongo behave kutokana na jamii ya bongo inavyoishi
Classes zipo Kila mahali ilah bongo maskini na tajiri tunaheshimiana huo ubharat wenu peleka India
Mazafanta
Alaf nawatafuta Sana Dada zenu lazima nije kutembezea malungu
With this pig-headed mind you are unworthy to date a Bharatian girl and on top forget about stretching their thighs.
Kawawinde dada zenu weusi waliojitoa akili.
BHARAT YEDU.
 
Mhindi anaweza kukuza kampuni ya babu wa babu yake ,lakini sisi ndio kwanza ukiachiwa kampuni unaanza kumtafuta sepetunga,Mabito na watoto wote wa mjini kula bata,hawa akina Mo na Manji hizo mali wamezikuta lakini angalia walivoziongeza.Sisi tutabaki wapika majungu tu kwa Wahindi,mfano wana Simba ,mwenye share chache ndio baba na mama wa timu,halafu tunaanza kuwashika uchawi wahindi,wacha watufanye watumwa,sisi tubaki tu kujidai oh sisi ndio wazawa oh sisi ndio wenye vyama ,oh sisi ndio wapiga kura,jamaa huwaoni kote huko wao ni kutengeneza mifweza kimya kimya,sisi ukipata makalio yote hulia mbwata.Buure kabisa waswahili.
 
Matatizo ya waafrika wengi yana sababishwa na waafirika wenyewe tuache Tabia za kulaumu watu weupe.
Kila siku tunamjadili Lissu kuwa kaongea BBC sijui CNN wakati wenzenu wanatengeneza mifweza,endeleeni kujadili maisha ya Lissu atawaletea ugali mezani.
 
Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnafanya kazi bila ya mikataba
Nenda chama cha wafanyakazi wa sekta yako watakusaidia,bure tu
 
Hamna shida kubwa kama kuongozwa na masikini mwenzio, ni bora mtu aliezoea maisha ya juu awe kiongozi wako wewe mwenye hali ya chini kuliko fukara mwenzako aliepata upenyo hivi majuzi kuwekwa juu yako.

Wahindi ni masikini wa kutupwa India ni Taifa la kwanza ulimwenguni kua na idadi kubwa ya masikini yaani India wapo poorer of the poorest ambao masikini wa huku Tanzania ni matajiri kwao

Pamoja na mapungufu yetu mengi ila ukilinganisha na mapungufu waliyonayo wahindi, watanzania tunaonekana hatuna tatizo, wahindi wamefanikiwa kwenye hii nchi sababu tu ya udhaifu wa serikali zetu zilizopita wala sio kwamba wana cha tofauti saana kutuzidi wala nini, rushwa, ufisadi, wizi, dhulma ndio mazingira ambayo yanamfanya muhindi afanikiwe kwa urahisi.

Lakini pia watanzania acheni uvivu hasa watanzania wa maeneo ya mwambao.
Kwani wewe umekatazwa kufanya hayo mkuu ama ndo unajivisha joho la uzalendo baada ya chombo kwenda alojojo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kama tunaofanya kazi viwanda vya MO mbona jasho linatutoka? Mshahara ni laki unusu tena supervisor yaani shillings 150,000 kwa mwezi
Duh.. Bora nikomae na forex tu ambayo nikakomaa kumake $10 kila siku kwa mwezi ntakuwa na $200 sawa na laki 5 kasoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kujua ni kwanini makampuni mengi utawakuta hawa jamaa ndio mabosi tena hawana utu kabisa katika kusimamia haki za wafanyakazi wao. Serikali iko wapi juu ya waajiri kama hawa tunaoteseka ni sisi wananchi zaidi tupo ndani ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Very simple, fungua na wewe kampuni yako na wewe uwe muhindi kwenye kampuni yako

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom