Hamna shida kubwa kama kuongozwa na masikini mwenzio, ni bora mtu aliezoea maisha ya juu awe kiongozi wako wewe mwenye hali ya chini kuliko fukara mwenzako aliepata upenyo hivi majuzi kuwekwa juu yako.
Wahindi ni masikini wa kutupwa India ni Taifa la kwanza ulimwenguni kua na idadi kubwa ya masikini yaani India wapo poorer of the poorest ambao masikini wa huku Tanzania ni matajiri kwao
Pamoja na mapungufu yetu mengi ila ukilinganisha na mapungufu waliyonayo wahindi, watanzania tunaonekana hatuna tatizo, wahindi wamefanikiwa kwenye hii nchi sababu tu ya udhaifu wa serikali zetu zilizopita wala sio kwamba wana cha tofauti saana kutuzidi wala nini, rushwa, ufisadi, wizi, dhulma ndio mazingira ambayo yanamfanya muhindi afanikiwe kwa urahisi.
Lakini pia watanzania acheni uvivu hasa watanzania wa maeneo ya mwambao.