🤣🤣🤣Umenikumbusha Kuna mdada tulikuwa tunamuita Rehema mwepesi jamanii alikuwa anafanya kazi yule dada wahindi walikuwa wanamlipa pesa ya ziada kwa ufanyaji wake wa kazi, watu walio bahatika kwenda nyumbani kwake walikuwa wanasema nyumba nzima kaeneza ndoo za maji hana maendeleo.Wale ndo zao...eti dereva wa bosi, mmiliki wa kampuni kabisa hana hata kitanda mwaka wa nane huu yuko job, yaan kama msukule, walking dead
Wahindi wangaa aki vile
Kuna staff mmoja walikuwa hawamlipi mshahara karibia mwaka kisa eti mauzo yake yalimiss, alivyopata kaupenyo akapiga hela ndefu (150m), halafu akaacha kazi, hiyo hela hakufanyia la maana, sasa hivi ni kichaa pale posta, embassy hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wakati nilipomaliza kumpa dozi nikaingia kwenye gari na kusepa, alafu yeye alijua akitoa chuma nitajinyea, alikutana na chuma ambayo ya kwake ilionekana kama Toy, na biashara ya Tractor iliishia hpoHaikufika polisi??
caste systemWahindi ndiyo jami pekee duniani, hakuna nyingine wanaoishi kiunyanyapaa, ni wao tu dunia hii. Wahindi wamegawanyika katika makundi 4 ambayo ni (1) wasioguswa/kushikika (2) matajiri (3) wafanyakazi na (4) mafukara. Kivumbi kinakuja hapa kwa ndugu zetu mafukara. Hawa jamaa wamegawanyika katika makundi 2,000, yaani aliye nafuu kidogo anambagua aliye chini yake na kama umezaliwa katika familia ya kimasikini basi utakufa kimasikini. Yaani kwa ufupi, wahindi kubaguana ni jadi kwao, wanaishi hivyo na pengine asipombagua mtu ajisikii vizuri.
Bora mtu mweusi kuliko muhindi,waarabu ndo zaidi ya wabongo
Kama muda wa kutoka ni saa 11 ina maana ulitoka nusu saa kabla ya muda.Hiyo hela uliyokatwa ndogo Mimi ningekukata mshahara mzima sababu chukulia kiwanda kinazalisha coca-cola wewe umezima mtambo nusu saa ili uwahi kuondoka.Unajua ni makreti mangapi ya soda yameshindwa kuzalishwa kwa hiyo nusu saa uliyozima mtambo? Huyo mhindi ana huruma sana kwako.Ingekuwa Mimi mswahili mwenzio ungenikoma mbona huyo mhindi ungemwona malaika.
Kwa maelezo yako inaonyesha una roho mbaya na chuki kuliko hao Wahindi unaowalalamikia.Wahindi unao watetea ni wajinga Ukifanya nao kazi ni wasumbufu haijawahi kutokea hawajui kitu kila dakika wanasumbua Kuna mmoja nilikuwa nae kwenye kampuni yaani kila dakika analeta kalatasi nimsaidie kujaza hajui English hajui kiswahili siku wakija wakaguzi polisi alikuwa anapata tabu aisee anajificha kwenye mabox alikuwa ana roho mbaya nilikuwa naombea siku polisi wamkute dadeki zake.
Umesahau kuwa babu zenu walikuwa wanaabudu miti na mapango?halafu wanaabudu miungu (idols)
Pamoja na roho mbaya ambazo mnazo ila mkiletewa polisi jeuri yote kisha vipi mkuu umapaniki upo India kwenye ile ibada yenu ya uchi kwenye maji ya Mavi.Kwa maelezo yako inaonyesha una roho mbaya na chuki kuliko hao Wahindi unaowalalamikia.
Nasemaje mtaendeshwa mpaka akili iwakae.
AhaaaahaaaaaaaaaaaUmenikumbusha Kuna mdada tulikuwa tunamuita Rehema mwepesi jamanii alikuwa anafanya kazi yule dada wahindi walikuwa wanamlipa pesa ya ziada kwa ufanyaji wake wa kazi, watu walio bahatika kwenda nyumbani kwake walikuwa wanasema nyumba nzima kaeneza ndoo za maji hana maendeleo.















🤣🤣Hao Wahindi wanatuonea sisi tu nenda Dubai wanatia huruma nywele Zina nyonyoka kwa kufagia barabarani unafanya basihara na jua la Nchi za kiarabu 😅😅waki toka huko sasa hasira wanakuja kumaliza kwetu.Ahaaaahaaaaaaaaaaa
Daaah haki nimecheka kifala
Ndo zao hao! Hakuna aliyefanya kazi kwa mhindi akawa na maendeleo never ever!
Kuna jamaa alijitahidi akafungua bar kwao huko Morogoro, siku ya uzinduzi ikaungua moto! Na alikuwa anatangaza ofisini, watu wanamwambia wewe kausha usiongee mambo yako!
Shikamoo mhindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dubai wamejazana balaa, wanafagia barabara wakitua bongo wanakuwa ma accountant yaaanHao Wahindi wanatuonea sisi tu nenda Dubai wanatia huruma nywele Zina nyonyoka kwa kufagia barabarani unafanya basihara na jua la Nchi za kiarabu
waki toka huko sasa hasira wanakuja kumaliza kwetu.



Ukipewa ikojolee kabla ya kuanza matumiziHela zao wanazisomea sijui manini kabla ya kukulipa mshahara....hiyo hela hutakaga ufanye la maana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angetoa m5 tu akajikinge na lolote baya watakalomfanyiaWale ndo zao...eti dereva wa bosi, mmiliki wa kampuni kabisa hana hata kitanda mwaka wa nane huu yuko job, yaan kama msukule, walking dead
Wahindi wangaa aki vile
Kuna staff mmoja walikuwa hawamlipi mshahara karibia mwaka kisa eti mauzo yake yalimiss, alivyopata kaupenyo akapiga hela ndefu (150m), halafu akaacha kazi, hiyo hela hakufanyia la maana, sasa hivi ni kichaa pale posta, embassy hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee kweli?Ukipewa ikojolee kabla ya kuanza matumizi
Hapo umemaliza nguvu dawa zao zote
Sent using Jamii Forums mobile app

Mchaga yule sijui ilikuwaje yaan...wamebaki wanajisifia tu kuwa mwizi wao amekuwa chizi..
Sio kujipendekeza tu tuna tabia ya kuchongeana.Mchaga yule sijui ilikuwaje yaan...wamebaki wanajisifia tu kuwa mwizi wao amekuwa chizi..
Wabongo wanapenda sana kujipendekeza, wao hao hao staff ndo walimuona huko posta kawa chizi, eti wakaja kuwambia wahindi, ili iweje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ili iweje? Tuna shida mahali, nilivyo siwapendi wahindi hata nione mbongo mwenzangu anawafanyia nini...simwambii mtu, siwaonei huruma hata kidogoSio kujipendekeza tu tuna tabia ya kuchongeana.
Ni kweli bestSasa ili iweje? Tuna shida mahali, nilivyo siwapendi wahindi hata nione mbongo mwenzangu anawafanyia nini...simwambii mtu, siwaonei huruma hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app