Kuna shida Gani na Ukweli?

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,370
29,961
Kuna hili swala moja ambalo silielew na hutokea kwa jinsia zote mbili
WANAWAKE:
Hiv upande Wenu kwann mnakua wakali sana mwanaume anapokuja kwako na kukwambia anaomba mgegedo kwa Ile ya moja kwa moja
Wengi Wenu mnaona kama mmekosewa heshima
Ila kuna sehem mnasahau naweza kukutongoza na hapo hapo nikaenda kukuomba mchezo na ukanipa na kama sio muda huo hata kwa siku za mbelen
Kwa maana nia yangu Ile ya ku have sex with you haijabadilika ila imetafutiwa Njia nyengne ya kukufikishia
WANAUME:
Mwanamke akija kwako moja kwa moja na kukwambia embu nihonge au umpe Hela moja kwa moja unaona kama huyu dada vip kwanza nampaje hii pesa bure bure namna hii
Ila dada huyu huyu akijibebisha kidogo akakulaghai kwa maneno mazur unaweza ukampa hata nyumba ya urith
Kwanin tuna shida na kuambiwa ukwel Wakat mwisho wa siku Hilo Lengo lazima litimizwe??
 
Back
Top Bottom