Kuna sheria yoyote ya walemavu?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,565
3,006
Ulemavu ni hali ya ukosefu wa kitu au kiungo katika mwili wa binadamu..mfano ulemavu wa miguu au kipofu.

Ujue kuna hali/unyanyapaaji fulani tunajenga tunapotumia neno "ulemavu" yaani inaonekana tunawatenga watu ambao wamepatwa na hali kama hizi mfano ndani ya gari mtu unataka kumwambia fulani sogea,je huenda akawa mlemavu wa macho ulimwambia we kipofu sogea ,hapa umemnyanyapaa.

Mfano Mgonjwa wa UKIMWI nadhani ni kosa kumwita mwenzio kutumia ugonjwa wake inakuwaje kwa ndugu zetu walemavu??

Je nauliza kuna sheria yeyote ya ulemavu ambayo inawalinda walemavu?na je ni lipi jina sahihi la kulitumia ili kuepuka unyanyasaji na kushusha thamani binadamu wenzetu?

Full stop.
 
Back
Top Bottom