Nilifikiria hizi energy na enthusiasm eventually zitaisha tu, then what? itkuwa ni long boring life....ila ukiwa na watoto waliolelewa na wazazi wawili excitement still utapata, wakiwa na wajukuu furaha inaongezeka, pia na majirani....i pictured
Yule rais wa Taiwan sijui mwanamke aliulizwa hujaolewa akasema hawezi nunua nguruwe nzima kwa ajili ya sausage. Acha usioe kama Hitaji lako kwa mwanamke Ni Hilo tu utamtesa mkeo
Utakula hata kunywa bata kweli kweli lakini Mungu si Athumani fainali yako ni uzeeni ama ukitetereka itakuanzia pale utakapokumbwa na matatizo mazito yakakayohitaji msaada; mathalani ukikumbwa na gonjwa sugu litakalohitajia uangalizi wa karibu...hapo ndipo utakapokiona cha mtema kuni: Hata marafiki na maswahiba wako waliokuwa wakikugida wakati wa neema wanakutupa mkono, ndugu zako watakunyanyapaa, na kwa vile huna mke wala watoto ..utafia kidhariri kwenye ghetto lako kama panya buku shoga!