Kuna sababu gani mimi kuoa?

Humu duniani kuna kuumwa mara magonjwa mbali mbali, mara kuna ajali zinatokea kila siku, mara kuna kukosa hela sometimes, mara kuna kugombana na watu Saa ingine huna kosa, kuna kusingiziwa kesi Saa zingine polisi, mara kuna kukosa hela yaani tabu tupu!

Kuna marafiki zako wengi wamepitia hayo, wengine kuumwa, wengine kukosa hela, wengine ajali nk

Sasa niambie kuna faida gani wewe kuishi? Kwwnn usighaili kuishi ukajiua zako tu
 
Badilika. Uzalishe ww uwape tabu wengine. Tubadilike vijana wa mwendokasi. Zaa mtoto umlee mwenyewe,umpatie maadili mema. Mabadiliko
....
 
mkuu kuishi na kuoa vitu viwili tofauti.
 
Badilika. Uzalishe ww uwape tabu wengine. Tubadilike vijana wa mwendokasi. Zaa mtoto umlee mwenyewe,umpatie maadili mema. Mabadiliko
....
Mkuu namlea vizuri sana huduma zoote natoa na huwa nakutana nae mara kwa mara na huwa anakuja kwangu na Mama ake, na nampenda sana
 
naweza kua Padri lkn kwanini nimdanganye Mungu?
 
wakati ukiwaza na kuhesabu matatizo uliyo yaona na kusikia kwa wenzako na ndoa zilizovunjika
je umefanya uchunguzi kuwa ni wangapi walio kwenye ndoa na wazeeka pamoja??
unapowaza negative usisahau na positive pia. huwezi kuacha kufanya biashara kisa mwenzako kafilisika
 
Sasa kama unaweza kupata maziwa ya nini ufuge ng'ombe.
 
naweza kua Padri lkn kwanini nimdanganye Mungu?

umdanganye nini sasa?unapenda kuwachezea wasichana afu huoi,ngoja wakuzalishie wanao bila ndoa ndio utajua utamu wake,what goes around,come back around...............................shaurilo
 
Mkuu nitoe katoka mtizamo hasi unilete kwenye chanya, kwanini nioe?

kwanza wazazi wako wanaishi maisha ya ndoa au vip? inawezekana ukawa muoga wa ndoa kutokana labla unaweza ukawa mbinafsi wewe mwenyewe na inawezakana ukawa unapenda kutoka na mademu tofauti tofati kumbuka ndoa huitaji kutafakari sana kabla ujaindia huko
tafuta wanasaikoloji wakupe ushauri kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…