Yanga mnaweza kuifunga Mamelodi lakini kuwazuia wasipate mabao haiwezekani, haiwezekani

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Kwa namna mlivyokufuru na kukubali dhambi msimu huu wa Ramadhan, mnaweza kuwapumbaza wachezaji wa Mamelodi lakin kuwazuia wasimsulubu kipa wenu mwenye miguu mizuri kama Asha Ngedere haiwezekani na haiwezekani.

Shalulele kwa beki hii ya Bacca na Job, kudadadeki.
 
Mbele daima Nyuma kuna Mwiko
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
images (1)-1.jpeg
 
Wewe ndio zimeruka una mental illness kwanini uwapangie watu kitu cha kufurahia waache huko marekani huwaambii kitu kwenye NBA huko England huwaambii kitu kwenye APL sasa kwanini hapa watu wamejita wanapenda mpira sababu ya influence ya timu ya simba na yanga wewe unahita ni propaganda..!
Unaumwa wewe!
 
Inawauma sana kila siku mnawazungumzia mablaza wenu wakati nyie pia mna majukumu yenu mnatakiwa kutekeleza. Ndio maana watu wanasema kichaka cha robo mlichokua mnajifichia kimewaka moto sasa hamna kwa kujificha mnahahaa
 
Wewe ndio zimeruka una mental illness kwanini uwapangie watu kitu cha kufurahia waache huko marekani huwaambii kitu kwenye NBA huko England huwaambii kitu kwenye APL sasa kwanini hapa watu wamejita wanapenda mpira sababu ya influence ya timu ya simba na yanga wewe unahita ni propaganda..!
Unaumwa wewe!
Huyo ni mgonjwa mkuu ana vyeti kabisa achana nae huwezi kuwapangia watu jinsi ya kuishi.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom