Kuna rekodi kuvunjwa haiwezekani kabisa

Kuna rekodi kuvunjwa haiwezekani kabisa

Huyo no 2 hata jina lake tu linagoma kwenye fani ya football may be uganga wa kienyeji angefaa.[emoji1787][emoji1787]
 
No 2 ni stori tu, haikuwahi kutokea. Hizo za Sadio na Lionel zinawezekana.
Zinadine aliwahi kufunga goli mbili dakika mbili, so possible kufikisha tatu
 
Namba 2 lazima alikuwa anaukimbia mpira.....yaani timu ikishambulia anajifanya beki na timu yake ikishambuliwa yeye anaenda mbele kuusubiri mpira.Mpira ukipelekwa mbele atafanya kila mbinu apishane nao anarudi nyuma...sio bure
 
Hii kama chai. Tuongeze sukari.

Rekodi hiyo kuivunja lazima uukimbie uwanja.

Kila wakikutafuta huonekani uwanjani.

Maana, ukicheza unaweza kuifikia, lakini si kuivunja.
 
Hiyo ya kupachika mabao mengi wa zambia wanaikataa kwa kusema nyota wao almarhum Godfrey "ucar"chitalu mwaka wa 1972 alifunga zaidi ya mabao 100
 
Hii kama chai. Tuongeze sukari.

Rekodi hiyo kuivunja lazima uukimbie uwanja.

Kila wakikutafuta huonekani uwanjani.

Maana, ukicheza unaweza kuifikia, lakini si kuivunja.
Na watu walivyo na roho mbaya wakiona unataka kuivunja wanakubamiza na mpira makusudi. Kiukweli jambo hilo ni gumu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom