Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,120 Reaction score 871,383 Feb 5, 2018 #21 kanali mstaafu said: Kwann Click to expand... Ulishawahi kujaribu kutumia madawa ya kulevya?
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,926 Feb 5, 2018 #22 mshana jr said: Dah nilikuwa najua tu kwenye hii mada sitasalimika... Anyaway uchawi ni kama kilevi kingine chochote kama madawa ya kulevya, pombe sigara nk... Click to expand... Unata kusema ukiwa mchawi utatamani kutogo tu nila huruma? Kama tunavyokandamiza bia bila kuzionea huruma
mshana jr said: Dah nilikuwa najua tu kwenye hii mada sitasalimika... Anyaway uchawi ni kama kilevi kingine chochote kama madawa ya kulevya, pombe sigara nk... Click to expand... Unata kusema ukiwa mchawi utatamani kutogo tu nila huruma? Kama tunavyokandamiza bia bila kuzionea huruma
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,120 Reaction score 871,383 Feb 5, 2018 #23 Internal said: Unata kusema ukiwa mchawi utatamani kutogo tu nila huruma? Kama tunavyokandamiza bia bila kuzionea huruma Click to expand... Afadhali hata ya bia uchawi una masharti mengi sana
Internal said: Unata kusema ukiwa mchawi utatamani kutogo tu nila huruma? Kama tunavyokandamiza bia bila kuzionea huruma Click to expand... Afadhali hata ya bia uchawi una masharti mengi sana
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,317 Reaction score 4,118 Feb 5, 2018 #24 mshana jr said: Ulishawahi kujaribu kutumia madawa ya kulevya? Click to expand... Hapana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,120 Reaction score 871,383 Feb 5, 2018 #25 kanali mstaafu said: Hapana Click to expand... Na naamini hufikirii kufanya hivyo.. Basi uchawi ni kama hayo madude ukiingia huchomoi
kanali mstaafu said: Hapana Click to expand... Na naamini hufikirii kufanya hivyo.. Basi uchawi ni kama hayo madude ukiingia huchomoi