Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
I wish niwe mchawiHivi wachawi(wanga) wakija usiku, wanashuhudia wanandoa au wapenzi wanavyojipinda wakifanya yao live ndani ya chumba wao wakiwa pembeni na matunguli?
Dah nilikuwa najua tu kwenye hii mada sitasalimika... Anyaway uchawi ni kama kilevi kingine chochote kama madawa ya kulevya, pombe sigara nk...Mshana Jr njoo utoe majibu
Sikushauri kabisaI wish niwe mchawi
KwannSikushauri kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi wachawi(wanga) wakija usiku, wanashuhudia wanandoa au wapenzi wanavyojipinda wakifanya yao live ndani ya chumba wao wakiwa pembeni na matunguli?