KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,656
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....

Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
 
Mkuu s

sio mitandao ya simu, ata bank moto ule ule.
 
Mkadhani ni GSM tu wanawachangia ccm?!
 
siku hizi mara nyingi nafanya cash transaction. Labda iwe emergency. Au natoa cash ATM, natuma kwa kutumia wakala. Hawa ni waizi tu.
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....

Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Hio ndogo ushawahi gusa miamala bank kwa bank? Au bank kwenda mtandao wa simu?
 
Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua....
Salio lako jipya ni TSh xxxx. Umetuma pesa kwa Wakala - xxxxxxx xxxxxx kiasi TSh 20,000. Jumla ya Makato TSh 2,156. (Ada TSh 1,850, Tozo TSh 306), VAT TSh 329. Kumbukumbu No.: xxxxxxxxxxx. 13/08/25 19:58. Furahia Punguzo kubwa la bei unapofanya miamala....

Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu?

Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
Wamechangia halambee ya ccm mnafikili pesa ina rudimentary?
 
Back
Top Bottom