Tetesi: Kuna nyufa zimeanza katika idara hii nyeti ya serikali?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,176
Reaction score
25,919
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa.

Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi, hali ambayo inaonekana kama kunakuwa na element za chuki binafsi dhidi ya wahanga wanaotoka upande mwingine wa nchi.

Na minong'ono inaendelea kuwa mara nyingine wafanyakazi wa idara hii nyeti ya serikali wanaotoka upande wa pili wa nchi ni kama wanaji-organize na kufanya kazi kivyao bila maagizo ya kiofisi, kama vile kujichukulia hatua wao wenyewe kwa kulinda maslahi ya mtu wa juu wanaemuona kuwa mtu wao.

Kuna ishara kwamba baadhi ya wafanyakazi wa idara hii nyeti wanaotoka upande mwingine wa nchi wameanza kuonyesha dalili za kutokubaliana na mambo yanayofanywa na wale wanaotoka upande mwingine wa nchi, na kuona kuwa wanapita kiasi katika yale wanayoona ni majukumu yao ya kazi. Kuna minong'ono kati ya baadhi yao kwamba wanaofanyiwa hivi ni wenzetu!

Kuna mmoja wao amekumbusha kwamba mpasuko wa namna hii ulikuwapo pia wakati wa awamu ya pili, na kukumbusha kwamba watu wa upande wa pili walihusika pia katika kumchinja injinia mwingine pale UDSM wakati wa mgomo uliopelekea UDSM kufungwa kwa mwaka mzima. Kauli ya "hawa jamaa kuchinja mtu ni kawaida yao na wanaona ni jambo dogo tu" ilisikika.

Inaonekana mambo yote haya ni sehemu ya jedwali kubwa ambalo limetia ndani baadhi ya wanene wa serikali kuamua kujitoa kwenye unene wao kutokana na mambo ambayo yamekuwa yakiendelea nchini, ikiwa ni namna ya wonyesho kwamba hawakubaliani na wanayofanyiwa watu wa upande wa pili wa nchi na staili ya uongozi wa nchi kwa ujumla.

1751533885552.png

Ona pia: Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?
 
Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa.

Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hali ambayo inaonekana kama kunakuwa na element za chuki binafsi dhidi ya wahanga wanaotoka upande mwingine wa nchi.

Inaonekana mambo yote haya ni sehemu ya jedwali kubwa ambalo limetia ndani baadhi ya wanene wa serikali kuamua kujitoa kwenye unene wao kutokana na mambo ambayo yamekuwa yakiendelea nchini, ikiwa ni namna ya wonyesho kwamba hawakubaliana na wanayofanyiwa watu wa upande wa pili wa nchi.

View attachment 3392545
britanicca unaitwa huku
 
Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hal

Kanali Seif Bakari katika historia ya baada ya mapinduzi matukufu ukiisoma unaona kama yaliyotendeka yanajirudia : soma : source :
Mzee Aman Thani anaelezea yaliyomtokea baada ya Mapinduzi ya Zanzibar

View: https://m.youtube.com/watch?v=xXlGpTGqDTM

Tetesi za ndani zinaonyesha misemo ya chini chini kuhusu idara hii nyeti ya serikali, hasa baada ya jaribio la kumuua kwa kumchinja engineer mmoja aliekuwa amelazwa Hospitali ya Muhimbili kutofanikiwa.

Mtazamo uliopo ni kwamba matukio mengi ya ukatili wa kupita kiasi yanayofanywa na Wasiojulikana yanaonekana kufanywa na watu wanaotoka upande wa pili wa nchi wa uongozi wa nchi, hali ambayo inaonekana kama kunakuwa na element za chuki binafsi dhidi ya wahanga wanaotoka upande mwingine wa nchi.

Na minong'ono inaendelea kuwa mara nyingine wafanyakazi wa idara hii nyeti ya serikali wanaotoka upande wa pili wa nchi ni kama wanaji-organize na kufanya kazi kivyao bila maagizo ya kiofisi, kama vile kujichukulia hatua wao wenyewe kwa kulinda maslahi ya mtu wa juu wanaemuona kuwa mtu wao.

Kuna ishara kwamba baadhi ya wafanyakazi wa idara hii nyeti wanaotoka upande mwingine wa nchi wameanza kuonyesha dalili za kutokubaliana na mambo yanayofanywa na wale wanaotoka upande mwingine wa nchi, na kuona kuwa wanapita kiasi katika yale wanayoona ni majukumu yao ya kazi. Kuna minong'ono kati ya baadhi yao kwamba wanaofanyiwa hivi ni wenzetu!

Kuna mmoja wao amekumbusha kwamba mpasuko wa namna hii ulikuwapo pia wakati wa awamu ya pili, na kukumbusha kwamba watu wa upande wa pili walihusika pia katika kumchinja injinia mwingine pale UDSM wakati wa mgomo uliopelekea UDSM kufungwa kwa mwaka mzima. Kauli ya "hawa jamaa kuchinja mtu ni kawaida yao na wanaona ni jambo dogo tu" ilisikika.

Inaonekana mambo yote haya ni sehemu ya jedwali kubwa ambalo limetia ndani baadhi ya wanene wa serikali kuamua kujitoa kwenye unene wao kutokana na mambo ambayo yamekuwa yakiendelea nchini, ikiwa ni namna ya wonyesho kwamba hawakubaliani na wanayofanyiwa watu wa upande wa pili wa nchi na staili ya uongozi wa nchi kwa ujumla.

View attachment 3392545

Ona pia: Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?
NILIPO SEMA HAPA JF KUWA MNAJUA KUWA SAMIA ANAWACHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO JPM WENGI WALIBISHA ..Wapo watu awakutaka Zanzibar ipate uhuru dhidi ya waarabu hivyo wanamchukia sana karume na nyerere.
 
Jamani turudi kwenye asili zetu ,tuanze kuongea na wazee wetu, unajua nimewaza sana nyumba ya ukuta, mbona wazee wetu wapo walio wakwepa wakoloni na wasionekane ? Embu watwambie hili tatizo lawasio julikana ni kina nani!
 
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika dhidi ya Waarabu, na wakachinjwa na kukimbilia Oman na Uarabuni huko, wakiapa siku moja watalipiza kisasi. Sasa ni suala la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye akili; katika mapinduzi ya Zanzibar, unafikiri Samia angesimamia upande gani?

Ukijibu swali hilo utaelewa kila kitu kinachoendelea sasa hivi
 
Mbona huko tulishapita siku nyingi? Wewe ulikuwa wapi?
 
Mapinduzi ya Zanzibar yalifanyika dhidi ya Waarabu, na wakachinjwa na kukimbilia Oman na Uarabuni huko, wakiapa siku moja watalipiza kisasi. Sasa ni suala la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye akili; katika mapinduzi ya Zanzibar, unafikiri Samia angesimamia upande gani?

Ukijibu swali hilo utaelewa kila kitu kinachoendelea sasa hivi
Sasa wanalipa Kwa wasio husika, kwanini wasiwatafute wahusika wakalipe huko ili na wao waumie?
 
Back
Top Bottom