Kuna nini shule zetu za kata?

1.walimu wachache wanafunzi wengi kuna kipindi nilijitolea kufundisha math form 3 shule flan nilikuwa na stream 5 karibia wanafunzi 400 nambie hapo utatoa test ngapi usahihshe kwa wakati wazipate,mazoezi utatoa??kwanza muda unapata wapi na hata ukipata muda unachoka sana.nilikuwa napiga vipindi 12 kwa siku week nzima hapo nimejitolea mwalimu wa kuajiliwa hafanyi hivi.

2.wanafunz wa shule za kata wengi slow learner wachovu wanakotoka hapikwi vizuri kumbuka darasa la saba ni majibu ni kuchagua.....moja ya vituko nilivyokutana navyo mtoto anafika form 3 hajui table, kiingereza kinamsumbua wengine hata kugawanya mzozo hawajui

3.walimu wanajiita cheki namba hawana mzuka na kufundisha maana shule za umma mtoto akifeli akifaulu hapati chochote na maslahi yao madogo so ufundishaji ni ule bora liendeee

4shule za kata nyingi ni boys na girls na watoto wetu hawa wanaanza kuwaka ngono wakifika secondary so mapenzi pia ni sababu kubwa ya watoto kufeli watoto hawa waoneni hivi wanapiga na miti watoto wa kike wanatoa sana mimba yahn kuna mambo yanafanyika unasema hiki kazazi ni noooma.vitoto vinakutongoza mwalimu live live hahahaha.

5.hawa watoto wa shule za kata wengi pia wanatokea familia maskini hivyo hawazingatii shule kivile na wengine ni rahisi kurubuniwa.

6.walimu wana roho mbaya sana just mwalimu wa hesabu wa kujitolea shule nzima ina walimu watatu kisa nafundisha vizuri naingia bila kitabu darasani napiga pesa za tuition za hapa na pale navaa na kunukia nadhifu kuliko wao wakanifanyia mizengwe maskini mpka nikawaachia shule yao, wakienda walimu kuomba nafasi ya kujitolea mwalimu wa taaluma anawaambia shule ina walimu wa kutosha,sasa unajiuliza shule ya kata tangu lini ikawa na walimu tena wa sayansi wa kutosha???

Binafsi nayajua mazingira ya kata in out kozi nimesoma hizi shule wayback zinaanzishwa na nimefundisha miaka miwili niseme hizo sio shule za kupeleka mtoto... watoto wengi wanaharibika kwa kukutana na watoto wenzao wenye tabia mbovu na ikitokea umepeleka basi jitahidi sana mzazi umfatilie hatua kwa hatua mwanao
 
Mnyunguli hayo yote sio kuwa watanzania hawayajui au watawala wetu hawajui, huyu aliyeanzisha shule za kata hata kitukuu chake hakusomi huko, maana anaelewa kuwa hakuna elimu kule ni uzuzu tu, watawala wetu family zao zinapata elimu bora, na elewa elimu kwa mwanadamu ni kama kuwa na afya bora, ujinga ni mtaji mkubwa wa Chama tawala ili royal families ziendelee kula pie ya taifa peke yao
 
Ila hao wenye zero nawaambien watkuja kuajir hao wenye one maisha hayapo ivo mnavodhan mtu akifel mtihan wa darasn bhas kashafel maisha
Mkereketwa ambacho tunazungumzia hapa ni vipi mtoto amefaulu class 7 akaenda secondary lakini tunaambiwa amefeli. Was she/he not learning Kwa miaka aliyokuwa shule. Na kama unasema kuna learning iliyokuwa inaendelea kama unavyodai atakuja kuajiri wengine na zero yake, Kwa nini sasa mtihani umeshindwa kuonyesha the students were learning?
 
1.walimu wachache wanafunzi wengi kuna kipindi nilijitolea kufundisha math form 3 shule flan nilikuwa na stream 5 karibia wanafunzi 400 nambie hapo utatoa test ngapi usahihshe kwa wakati wazipate,mazoezi utatoa??kwanza muda unapata wapi na hata ukipata muda unachoka sana.nilikuwa napiga vipindi 12 kwa siku week nzima hapo nimejitolea mwalimu wa kuajiliwa hafanyi hivi.

2.wanafunz wa shule za kata wengi slow learner wachovu wanakotoka hapikwi vizuri kumbuka darasa la saba ni majibu ni kuchagua.....moja ya vituko nilivyokutana navyo mtoto anafika form 3 hajui table, kiingereza kinamsumbua wengine hata kugawanya mzozo hawajui

3.walimu wanajiita cheki namba hawana mzuka na kufundisha maana shule za umma mtoto akifeli akifaulu hapati chochote na maslahi yao madogo so ufundishaji ni ule bora liendeee

4shule za kata nyingi ni boys na girls na watoto wetu hawa wanaanza kuwaka ngono wakifika secondary so mapenzi pia ni sababu kubwa ya watoto kufeli watoto hawa waoneni hivi wanapiga na miti watoto wa kike wanatoa sana mimba yahn kuna mambo yanafanyika unasema hiki kazazi ni noooma.vitoto vinakutongoza mwalimu live live hahahaha.

5.hawa watoto wa shule za kata wengi pia wanatokea familia maskini hivyo hawazingatii shule kivile na wengine ni rahisi kurubuniwa.

6.walimu wana roho mbaya sana just mwalimu wa hesabu wa kujitolea shule nzima ina walimu watatu kisa nafundisha vizuri naingia bila kitabu darasani napiga pesa za tuition za hapa na pale navaa na kunukia nadhifu kuliko wao wakanifanyia mizengwe maskini mpka nikawaachia shule yao, wakienda walimu kuomba nafasi ya kujitolea mwalimu wa taaluma anawaambia shule ina walimu wa kutosha,sasa unajiuliza shule ya kata tangu lini ikawa na walimu tena wa sayansi wa kutosha???

Binafsi nayajua mazingira ya kata in out kozi nimesoma hizi shule wayback zinaanzishwa na nimefundisha miaka miwili niseme hizo sio shule za kupeleka mtoto... watoto wengi wanaharibika kwa kukutana na watoto wenzao wenye tabia mbovu na ikitokea umepeleka basi jitahidi sana mzazi umfatilie hatua kwa hatua mwanao

Naungana na wewe haswa number 6, walimu wana roho mbaya na wanafundisha ili ufeli
Hicho kitu kinasikitisha sana!
 
Wanafunzi wengi.

Bangi
Ngono
Kubet
Vidamali
Vicoba.

Hakuna was kulaumiwa, ni wao wanafunzi hawako buzzy na masomo.
 
Ila hao wenye zero nawaambien watkuja kuajir hao wenye one maisha hayapo ivo mnavodhan mtu akifel mtihan wa darasn bhas kashafel maisha
Na wasiwasi na uelewa wako wa mambo.

Chance ya alipata ziro kufanikiwa hadi kumuajiri alifaulu, ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom