Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

Chanzo cha hzo element ni nn
 
Huwezi kufikiria nje ya dini..huo ni use***
 
Hahaha mmmh isije ikawa kweli mkuu joto la 400c+ ni joto kali sana hapa dar joto ikifika 32c watu tunatafutana.... sasa huko venus kuwe ndo jehanam

Sasa kwenye jua nasikia milions Centigrade
 
Solar parker probe.. Mission to touch the sun
Kimetumwa mwaka jana hapo mwishoni
 
Mada za udaku ndio zinawachangiaji Wengi, mada za Elimu na kujifunza hazipitiwi kabisa.
watachangia nini wakati vichwani weupe, wengine wanajua maisha ya diamond kuanzia ratiba ya kuamka mpaka kulala ila mambo mengine zero, , ukimwaga povu ujue inakuhusa.
 
kama wanasayansi ni waongo wanawezaje kutabiri kupatwa kwa jua na mwezi na vinatokea kweli?
 
Ukijiongeza kidogo ingependeza,hizi dini zimekuja majuzi tu na dunia ipo million years back.Sayansi ndo kila kitu hivi vitabu visiwaumize kichwa.Tatizo tunafikiri dini ni Christian na Islamic tu wakati zipo nyingi tu na maisha yanakwenda
 
Hii mada nyingne mkuu kukaa kwenye meza ya maakuli maana yake ni kula chakula,sasa sijui unamaanisha nae anakula?
Tafadhali SKIP hii mada yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…