Kuna nini KCMC?

Du nilikuwa sijaiona hii.
Dr. Mtwangambate, G, mbona tulikubaliana pamoja ulipotaka ushauri akiwepo na Dr. Kileo kuwa tuwasiliane kwanza kabla ya kushusha haya mambo mazito bila uchunguzi wa kutosha? Jamii ina habari kamili yaana umeongea yaliyo ya kweli lakini kuna mengi ya uongo kabisa. Na mwishowe utaonekana kuwa ni uzushi kwa kila uliloandika sasa.
Mzee kwa mwendo huu naona hata hapa chuoni (katika masomo yako ya juu) uliyoanza yatakushinda sasa.

Unahakika na haya uliyoandika hapa, au una chuki na hawa wenye majina haya? By the way, you have tryied to be open about those you suspect. Then who are you?
 
Mtoa maada umepatia kabisa; big up! tunapambana na rushwa kuna watu wanataka formality! mtoa maada alichokosea ni kudhani sisi wote tunajua kuwa pale kuna tatizo hivyo data tunazo!

wito kwa wote wenye ushahidi wa haya watoe data, si lazima mtoa maada!
 
Hongera tangibovu kwa kuweka wazi udhalinu unaotendeka KCMC.Taasisi iliyopoteza mwelekeo kutoka kwenye mstari wa kuhudumia wagonjwa na kuwa na mwelekeo wa kukumbatia miradi na tafiti za wazungu zinazo mneemesha prof.John Fanuel Shao,Familia yake na kikundi kidogo tu cha wanaomuabudu.Thubutu kuhoji utakiona cha moto!!

Sipendi kuhoji uwezo na uelewa wa Wajumbe wa Bodi...wakiongozwa na Askofu Mkuu wa KKKT (inatia shaka).Naclelea kuwatuhumu kuchukua mlungula wa Prof...ila inatia shaka.

Hospitali imejaa wafanyakazi wasio na morali kutokana na makundi yaliyowekwa na Profesa huyu wa Vijidudu (microbiology).Manesi wanahudumia wagonjwa maradufu ya uwezo wa wodi wakiwa na vifaa duni huku baadhi ya wagonjwa wakitaabika kwenye vitanda vya turubali ...inanikumbusha JKT.Kipaumbele cha Prof huyu mdhalimu ni kukumbatia wazungu na miradi yao kwa nini ?jibu mshiko.

Huwezi kuamini KCMC yenye miaka takribani 39 imebaki kuwa na vtanda 450 hadi leo.

Jamani wenye mapenzi mema na ndugu zetu wanaohitaji huduma ya tiba tuzidi kuumilika uongozi huu wa ki-fisadi na kidhalimu wa Profesa Shao
 
Kwahiyo wewe ndiye Dr Shao na mleta mada Dr Mtwangambate,G?


Don't let him fool you. There are no such names at KCMC, trust me. I have my sources. Inawezekana kweli waliongea lakini majina siyo genuine.
 
huu ni mchezo mchafu unataka kujitokeza ili kusafisha uozo wa KCMC...stop it hii ni kwa maslahi wa jamii na umma wa Watanzania wanategemea huduma ya Hospitali hii
 
Nadhani ni muda sasa uongozi unaosimamia KCMC ikafanyia kazi hayo malalamiko
Kama sikosei mpaka sasa kuna kesi kadhaa inayonguruma mahakama kuu kanda ya moshi dhidi ya huyu mutu anaitwa Prof.shayo
Mpaka maprofesa wenzie waende mbele ya pilato kusaka haki basi ujue hapo kuna tatizo
 
huu ni mchezo mchafu unataka kujitokeza ili kusafisha uozo wa KCMC...stop it hii ni kwa maslahi wa jamii na umma wa Watanzania wanategemea huduma ya Hospitali hii

BP, sidhani kama kuna mtu hapa mwenye nia ya kuzima huu uozo unaozungumziwa. Yote yaliyosemwa ni kweli, ila ni namna mleta mada alivyoileta hapa. Pia, hata kama huyo mzee anafanya mambo ya giza, rushwa, ngono nk, katika intellectual discussions kama hizi za JF bila ushahidi mada kama hii haiwezi kwenda mbele.

Jambo lililo gumu hapa ni, je, maskini mfanyakazi wa kawaida wa hapo KCMC atapataje documents za TAKUKURU, wizara ya afya nk ili kuzitoa hapa kama ushahidi?
 
Firstly, KCMC is indeed in a mess!The only 'appreciation' one can give is that the Good Samaratian Foundation (GSF)is maintaining the infrastructure but all salaries are paid by the Government. Prof Shayo is known to be a rude administrator wherein his 'word' is final!

Historically, if late Nyerere had not made that coup de tatduring the inauguration, today KCMC would have been a milestone!As mentioned above, GSF was finally given back the hospital but under conditions! They are continuing to strive and restore/increase the image but sadly, since Shayo has his 'backers', many things at times tends to proceed at a fractured speed.

The Doctors and nurses are frustrated and demoralised that many have/are continuing to leave.Scenarios such a last December were that two nurses for almost 185 patients (one ward whose corridors are also full!)as witnessed by a close friend who stayed there for almost 6 weeks.

At times, one wonders is the Govt not aware of all these setbacks?
 
Tasisi za kidini siku izi nyingi zimepoteza umakini ata Tumaini university hayo hayo
 
Firstly, KCMC is indeed in a mess!The only 'appreciation' one can give is that the Good Samaratian Foundation (GSF)is maintaining the infrastructure but all salaries are paid by the Government. Prof Shayo is known to be a rude administrator wherein his 'word' is final!

Historically, if late Nyerere had not made that coup de tatduring the inauguration, today KCMC would have been a milestone!As mentioned above, GSF was finally given back the hospital but under conditions! They are continuing to strive and restore/increase the image but sadly, since Shayo has his 'backers', many things at times tends to proceed at a fractured speed.

The Doctors and nurses are frustrated and demoralised that many have/are continuing to leave.Scenarios such a last December were that two nurses for almost 185 patients (one ward whose corridors are also full!)as witnessed by a close friend who stayed there for almost 6 weeks.

At times, one wonders is the Govt not aware of all these setbacks?
Man put facts in your post. Say which decisions has Shayo did which are shumbles or of personal gains. Don't just smear someone's name b/se you have the forum. If people are not paid well, who to blame? Shayo? ofcourse not, it is the Govt who have taken part of the cost for KCMC. The Govt pays the salaries and other running costs. People leave for greener pastures always, and that is encouraged so that people can share experiences. I suggest that you put exactly what you have in mind forward so that we can know and make our contributions!!!
 
Miaka 30 na iliyopita mtumishi wa Mungu Askofu Stephano Moshi wa KKKT alipata maono...Kilimanjaro Christian Medical Centre kwa kushirikiana na wengine akiwemo Prof Otto Walter hospitali hii mashuhuri na aina yake ikajengwa...ikakua.
Leo hii KCMC imekuwa makao ya mapepo na wachawi wenye uchu wa madaraka , mafisadi. Prof John Shao anainajisi KCMC ili kulinda cheo chake. Waganga wapiga ramli wanacheza na kuweka tunguli, kisa cheo!


Prof Shao amekuwa kiongozi hapa kwa zaidi ya miaka 10. Mwanzoni alifanya mema sasa hivi amenogewa hataki kuondoka...patamu pesa, wanawake, madaraka.
KCMC imekuwa danguro....viongozi kuzaa na watumishi...hakuna maadili tena. Waliokuwa wakisali kutwa kwa ajili KCMC wameondoka , wamestaafu...msarakambo
1. Prof Shao mwaka 2006 alifukuza kundi la madaktari bingwa waliohoji ukomo wa uongozi wake. Watu hawa wakiwemo Dr Ole, Prof Mlay...walijitolea muda kufundisha chuo cha madaktari na kuiweka KCMC ilipo.
kosa lao ..walihoji uongozi wa Shao kila mmoja ...alisambaratishwa..Mbeya rufaa mradi mabingwa walijikuta wakiwa njiani..

2. Kwa kushirikiana na watiifu wachache amekuwa akijipatia 10% toka kila mradi wa research.

3. TAKUKURU mwaka 2009 walifanya utafiti na kukuta uozo mkubwa katika ulaji wa mishahara ya serikali na forgery ya majina ya watumishi wanaolipwa na serikali. kwa mfano Dr Anna Mushi aliyeondoka siku nyingi KCMC eti hadi 2009 yuko kwenye payroll wengine hata marehemu.

4. Viongozi wa Wizara wanapolalamikiwa wakifika KCMC huzibwa midomo kwa pesa..

5. Viongozi wa kanisa nao wametumbukia kwenye mkumbo hupewa fedha nao hukaa kimya.

6. Wastaafu watumishi wa KCMC karibu wote wanalia na kusaga meno hakuna mfumo wa pensheni zao zimepotea.
7. Mwanae asiyejua kukamilisha sentensi ya kiingereza anapewa cheo cha u head wa IT, jamani muogopeni Mungu.

Prof Shao ni mungu mtu hakuna wa kumgusa si Ask Malasusa wala nani anaendesha KCMC anavyotaka.

Ndugu zangu tuiombee KCMC

Sasa baada ya kashfa ya TAKUKURU 2009...amefukuza madakatari wengine bingwa akiwa na wasiwasi nao...

Hii ndio KCMC ya vitisho, mambo ya giza, ubadhirifu wa pensehni n.k
Mkuu asante kwa kufafanua uozo wa Shayo. Swali, hiyo ripoti ya TAKUKURU imagundua nini? Kama TAKUKURU wamekuja wkafanya uchunguzi nini hatma yake? Je Audit ilifanywa na nini outcome yake? Bodi ya KCMC inaundwa na akina nani? nani mwenyekiti wake? Kwanini hizi taarifa kama siyo uzushi zisifike kwenye tume ya maadili au zisifike polisi maana zingine zinaonekana ni jinai? Kwani huu uozo wasipewe wabunge walipuwe kama serikali inavumba macho?
Kama kweli kuna ukweli shutuma hizi zilipuliwe hata kwenye magazeti ya udaku au just a thread zimfikie JK na watu wake. Nadhani kuna kitu kitafanyika.
 
Kcmc ni hospitali ya kanisa la kilutheri tanzania, sasa kama ni kweli watu wanafanya ufisadi kwenye uendeshaji wake na uchawi kulinda madaraka yao kweli binadamu wamepoteza maadili kwa kiwango kikubwa.
Umekuwa utamaduni wa waafrika kupenda kutajirika bila kikomo kwa ela za wanaowaongoza na kupenda kuongoza bila kikomo mpaka kifo kiwasimamishe kuongoza.
Nawasifu viongozi wetu wa kitaifa(maraisi) wamejiwekea kikomo mwisho miaka 10 kuongoza huu ni mfano wa kuigwa kwa watumishi wote walio ngazi za chini katika nchi hii.
Nakumbuka hata muheshimiwa waziri mkuu pinda alipendekeza kama sikukosea mwisho wa ubunge vipindi 3 yaani miaka 15.
Wazungu na kanisa la kkkt wanatoa ela zisaidie kcmc halafu hao viongozi wa kcmc wanakula kweli inaingia akili? Nyie viongozi ogopeni adhabu siku ya mwisho.
 
Ukiona kiongozi wa taasisi muhimu ya huduma za jamii analalammikiwa na watu wengi halafu
  • yeye mwenyewe hatishiki
  • mwajiri wake hasukumwi kumchukulia hatua
  • viongozi wa serikali ya nchi yake hajiingizi na kudai kumwadabisha
basi ujue kuwa mfumo mzima wa kuwahudumia wananchi wa nchi hiyo UMEOZA. Kila unayempelekea mashitaka dhidi ya mtendaji mmoja naye analalamikiwa na watu fulani. Unayemtuhumu kwa ulaji naye anawajua wote kwenye utawala kwa ulaji na anaweza hata kutamka kiasi wanachokula.

Hapa hakuna ole kwa WANAOKULA, bali ole iko kwa wale WALIWAO.

Labda CCJ watakuja na Chama kipya Viongozi wapya na Huduma Mpya.
 
yes naungana na wewe Omega Prof Shao ndo kaifanya KCMC iwe hivi hoi bin taabani.Manake kwako wewe uozo wote wa KCMC na udhalimu kwako wewe ndo u-smart
 
habari za uhakika tayari interview imefanyika....hivyo basi mwisho wa utawala wa kidhalimu wa KCMC umekaribia.Hongera Bodi ya KCMC...tuombe KCMC ipate Mkurugenzi atakayeirejeshea hadhi yake iliyopotea kipindi cha Prof Shao.Wenye mapenzi mema na KCMC tuendelee kuombea zoezi la kumpata Mkurugenzi mpya lifanyike kwa amani
 
Tuzidi kuiombea KCMC idumu milele kwani inahudumia wanyonge wa nchi hii. Wanaoihujumu KCMC walegee na washindwa. amina
 
Back
Top Bottom