Kuna nini katika mkasi!!??

Kuna nini katika mkasi!!??

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Baaas nimekoma nimeiondoa nyie watu mna maneno kama mawe!!!
 
kuna kitu kinaniumiza kichwa.....
kuhusu kipindi cha MKASI cha Salama Andunje Jabir...alipomfanjia tu intavyuu Kanumba haikupita mda akafariki,Lulu nae baada ya intavyuu haikupita mda kitu cha kunyea debe kikamuhusu,haya sasa kipindi cha wiki ilopita alikuwa SAJUKI imepita siku moja tu nae huyooo katuaga!!!!! NINI HIKI!!??
Picha lako halisomi vizuri!
Mbona majuzi pia alimhoji Jackline Wolper, Majani, etc, kwanini wasife au kukumbwa na mabalaa?
 
Mawazo mgando....
 
Wakuu hapa nimepita tu, nitarudi baadae kidogo
 
kuna kitu kinaniumiza kichwa.....
kuhusu kipindi cha MKASI cha Salama Andunje Jabir...alipomfanjia tu intavyuu Kanumba haikupita mda akafariki,Lulu nae baada ya intavyuu haikupita mda kitu cha kunyea debe kikamuhusu,haya sasa kipindi cha wiki ilopita alikuwa SAJUKI imepita siku moja tu nae huyooo katuaga!!!!! NINI HIKI!!??

Watu wengine bana. Hoja dhaifu. Utadhani wapiga ramli. Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Kama huna cha kuandika, tulia kimya. Au futa uanachama wako hapa JF.

hakuna uhusiano wowote na kipindi cha mkassi na matukio ya wasanii kufariki dunia baada ya interview na salama,vipindi vinaandaliwa mapema na isitoshe kifo ni kifo tu tusianze kutafuta wachawi kupita kipindi cha mkasi,sajuki kwa wanaofuatilia habari za wasanii alikuwa anaumwa siku nyingi,hata kule A-Town tuliona alianguka hali iliyoonyesha kwamba alikuwa bado anaumwa .

hata ndugu yake tumemsikia akisema alikuwa amelazwa mhimbili wiki mbili zilizopita wakijiandaa kumepeleka India,sasa hiyo habari yako ya kuhoji kuna nini kipindi cha mkasi usitake kuchonganisha watu na kuwatisha wasifanye interview na salama kupitia kipindi chake.mungu amrehemu sajuki.
 
Picha lako halisomi vizuri!
Mbona majuzi pia alimhoji Jackline Wolper, Majani, etc, kwanini wasife au kukumbwa na mabalaa?

Kahoji pia akina TID, Lulu na wengine wengi tu, bado wanadunda na uhai wao. Naona ni mtazamo hasi wa mleta mada
 
Kahoji wangapi? Mbona wasikutwe na majanga?

Kwa akili hiyo yako utaanza ulizia na Airtel (Sharobaro).

Utaanza ulizia muziki (Babu sean family, TID etc) jela.

Analysis ya kizembe sana hii mkuu. Ungekuwa kwa Shigongo ungekuwaga Tajiri kwa kuwajaza waTz ujinga.
 
kuna kitu kinaniumiza kichwa.....
kuhusu kipindi cha MKASI cha Salama Andunje Jabir...alipomfanjia tu intavyuu Kanumba haikupita mda akafariki,Lulu nae baada ya intavyuu haikupita mda kitu cha kunyea debe kikamuhusu,haya sasa kipindi cha wiki ilopita alikuwa SAJUKI imepita siku moja tu nae huyooo katuaga!!!!! NINI HIKI!!??
mmm!na wewe imani zako za ajabu kweli.mbona hata zamaradi alimuhoji kanumba.sasa wewe unahusishaje kuhojiwa na kufariki.acha utoto.
 
Ikifika imefika mkuu,huwezi zuia,acha apumzike kwa amani rip sajuki
 
hizo tunaziita akili za kianalogia

alafu analogia yenyewe iko hivi.
Kwa waliosamoa logic and reasoning watanielewa:
1. Sajuki amehojiwa kwenye mkasi, sajuki amekufa.

2. Kanumba amehojiwa kwenye mkasi, kanumba amekufa.

3.Sajuki na kanumba wamehojiwa kwenye mkasi wakafa.

conclusion- Ukihojiwa kwenye mkasi utakufa.

hakika hii ni analysis ya kitoto sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom