Kuna nini katika mkasi!!??

Kuna nini katika mkasi!!??

kama vipi ahamie digitali tu ili akili iwe advanced:confused2:
 
Ndo wale wale waliofaulu bila kujua kusoma na kuandika
 
kuna kitu kinaniumiza kichwa.....
kuhusu kipindi cha MKASI cha Salama Andunje Jabir...alipomfanjia tu intavyuu Kanumba haikupita mda akafariki,Lulu nae baada ya intavyuu haikupita mda kitu cha kunyea debe kikamuhusu,haya sasa kipindi cha wiki ilopita alikuwa SAJUKI imepita siku moja tu nae huyooo katuaga!!!!! NINI HIKI!!??

nenda na ww kahojiwe tuone itakuaje..nahic kama utavuta vile
 
Watu wengine bana. Hoja dhaifu. Utadhani wapiga ramli. Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Kama huna cha kuandika, tulia kimya. Au futa uanachama wako hapa JF.

we siku hizi umekuwa mods au umetumwa?ivi ukiacha kucomment hoja za watu itakuwa nini? za kwako ziko wapi ambazo imara?acha kujishau wengi twakujua
 
we siku hizi umekuwa mods au umetumwa?ivi ukiacha kucomment hoja za watu itakuwa nini? za kwako ziko wapi ambazo imara?acha kujishau wengi twakujua
Wale wale......... wanaodhani makosa yao yanafichwa na makosa ya wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom