Ndio naonaga ajabu mtu kusema mwanamke anadhalilishwa.
Bado utaona kuna mtu anaoa takataka kama hiyo anaweka nyumbani kwake
Itakuwa ni ngoma ya mpagawisho ya kule!Ha ha haaaaaaaaa! Sijui ni mnanda, mchiriku au ngoma gani hiyo? maana mnh!
Huyo mwenye animal prints ameamua kujipagawisha na majani tu! Lol!